Tamko: Sitaki shobo

Tamko: Sitaki shobo

Kichwa cha habari chajieleza,

Kuhongwa rep power sio tiketi ya kuombea na bia, kama mna kiu na bia mtafute hela zenu, muombe kwa wazazi au wame zenu. Mambo ya kuomba hela ya bia kwa shemeji yenu sitaki tena mkome alaaah mie mwenyewe hizo bia nina kiu nazo msijitie kuhoji kwanini sijaongea nae jibu ni kwasababu nimeona mafuriko ya kuomba omba yamezidi nimeamua kusema kama vipi namie mnipe namba na wanaume zenu wanipe hizo hela za bia kubafu

Sitaki mazoea kwa baby wangu sitaki sitaki mfowadiane pm kwa anaehitaji kumjua

Nb: Tamko halina mjadala
 
Back
Top Bottom