Timothy anatua darajani...huyu ataenda kwa mkopo Wycombe na nyodo zake
Hivi anaamini ataheza kombe la dunia na england?"Kuna sababu za msingi ambazo zilinifanya nichague kuichezea timu ya Taifa ya England badala ya Nigeria, Sababu ya Kwanza ni wazi Nigeria haina nafasi kwenye michuano ya Kombe la Dunia wakati England ina nafasi kubwa ya kushinda Kombe la Dunia, Sababu ya pili ni kwamba siwezi kuimba wimbo wa Taifa wa Nigeria vizuri, Sababu ya tatu michuano ya Euro ni bora sana kuliko AFCON, Mimi ni Muingereza zaidi kuliko Nigeria"
Tammy Abraham
View attachment 1474153
Keshakosea. Akichezea senior mechi moja keshajiharibia maana sioni akicheza timu ya taifa miaka 2 ijayo.Bado mtoto hajielewi
Halafu Wazungu wakiwafanyizia wanaanza kupiga kelele na kuandamana.Kakubali kuwa mtumwa