Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Kabisa ndugu! Umenena point.Ni kweli. Maamuzi aliyochukua ni bora ila alichoshindwa ni kujieleza tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa ndugu! Umenena point.Ni kweli. Maamuzi aliyochukua ni bora ila alichoshindwa ni kujieleza tu
[emoji23][emoji23]We muache tu,watakapo mpigia goti shingoni ndio atajua kwao ni wapi...
Kwa Dele Ali namtetea,huwezi kujiita mnigeria kwa baba aina ya baba DeleMshamba tu uyu n mwenzie dele alli
Dah mzee alimtelekeza na miaka 4!Kwa Dele Ali namtetea,huwezi kujiita mnigeria kwa baba aina ya baba Dele
Na hata alivyompata haikuwa kimapenzi wakaishia kukatesa bure katoto masikiniDah mzee alimtelekeza na miaka 4!
Bamidele Alli😂😂,Mshamba tu uyu n mwenzie dele alli
Safi sana, Africa kumejaa upuuzi mtupu.
Kuna mmoja aliiponda nchi yake akataka achezee uingereza wakambania,alipotaka kurudi akawekewa uso wa mbuzi, nimesahau jinaAfrica hakuna mazingira mazur ya soccer hasa kwenye team za taifa vyama vya mpira vimejaa uhuni na ubababishaji wachezaji wengi wanakosa stahiki zao
Lkn huko anakoenda kuna chance ya kucheza???
Ni hayo tu
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mjinga huyo siku akibaguliwa tena na hao waingereza hakuna support kutoka kwa watu weusi Hana akili huyo mtoto"Kuna sababu za msingi ambazo zilinifanya nichague kuichezea timu ya Taifa ya England badala ya Nigeria, Sababu ya Kwanza ni wazi Nigeria haina nafasi kwenye michuano ya Kombe la Dunia wakati England ina nafasi kubwa ya kushinda Kombe la Dunia, Sababu ya pili ni kwamba siwezi kuimba wimbo wa Taifa wa Nigeria vizuri, Sababu ya tatu michuano ya Euro ni bora sana kuliko AFCON, Mimi ni Muingereza zaidi kuliko Nigeria"
Tammy Abraham
View attachment 1474153