Futota
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 521
- 88
haziharibu 'mashine' ?
hazifai kabisa, nakushauri kama una mtoto wa kike usimfundishe kuvaa hizi bora tu pads.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haziharibu 'mashine' ?
hazifai kabisa, nakushauri kama una mtoto wa kike usimfundishe kuvaa hizi bora tu pads.
mhhhhhhh
Hazifai kwa wasichana, possible a girl is still virgin hatoweza kusokomeza ile.naoba utupe sababu za kwanini hazifai??
huwezi mpa ushauri mtu na huna sababu ya maana.. asante
duh, natamani kuuliza swali la kijinga sababu sijui kiukweli.
Itabidi mwalimu, nikuPM tu.
naoba utupe sababu za kwanini hazifai??
huwezi mpa ushauri mtu na huna sababu ya maana.. asante