omereyo
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 308
- 91
Naifurahia sana tamthilia hii.yaani sasa HV ni tamu.ulikuwa inaniboa ilivyoanzishwa miaka ya 90.lakini sasa ndio inavutia.maisha ya bongo yanaakisiwa sana.hongera lincon kwa kuwa Mwenye ukali Na katlego kwa kuwa mkewe Lincoln.dah imekuwa mtamu isidingo.