Tamthilia-isidingo

Tamthilia-isidingo

omereyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
308
Reaction score
91
Naifurahia sana tamthilia hii.yaani sasa HV ni tamu.ulikuwa inaniboa ilivyoanzishwa miaka ya 90.lakini sasa ndio inavutia.maisha ya bongo yanaakisiwa sana.hongera lincon kwa kuwa Mwenye ukali Na katlego kwa kuwa mkewe Lincoln.dah imekuwa mtamu isidingo.
 
Waongeze muda iwe saa nzima na wikiendi waanze kuonyesha ili kusaidia Serikali kupunguza wagonjwa wa akili
 
Waongeze muda iwe saa nzima na wikiendi waanze kuonyesha ili kusaidia Serikali kupunguza wagonjwa wa akili
Kumbe ni tiba eeh?
 
Back
Top Bottom