vikosi makuruti
Senior Member
- Apr 3, 2014
- 192
- 68
Hawa walioigiza ndo mfano wa kuigwa na wasanii wengine,wanajua kuigiza halafu hata hawasikiki kivile kwenye media but kazi wanayofanya inakubalika
mkuu hawavutii ila hata youtube wana viewers wengi,kuna my friends uganda na burundi utakuwa wanafuatilia sana kuliko movies hizi zingineHawana mvuto ndo maana hawasikiki, kama huyo cheche ana sura nzito kama tope, akicheka kama an alia, ndo tz yetu hata ujue kuigiza kias gani kama huna mvuto inakula kwako, nashangaa sijui kwa nn hawajifunzi kwa akina lupita nyongo
mkuu hawavutii ila hata youtube wana viewers wengi,kuna my friends uganda na burundi utakuwa wanafuatilia sana kuliko movies hizi zingine
CV ya cheche mtungi ipojeWamezoa kuwaona makahaba wenye viwango binamu wakati mwenzao cheche akiingia kwenye kinyang'anyiro cha muigizaji bora wa kiume kwenye AMVC nigeria hao mpk wanazeeka hawajawah hata kuwekwa category ya upcoming actors/actress.
Ndio watanzania tulivyo, wanataka kuona sura nzuri kweny screen , na maumbo mazur ya wanawake , kama mvuto huna na soko na lenyewe huna, ray yupo radhi asitoe filamu kabisa kama hamna ma handsome boy na warembo kwenye movies zake , ndio maana movies zake hazifik mbal
Wanaoigiza wengi hawana vipaji,mfano kuna movie sijui inaitwa pusi and paku (sina uhakika na jina),mle ndani kaigiza Wolper,na dem mmoja pamoja na majuto,sasa Wolper na huyo dem mwingine wanajifanya wanachekesha,mpaka jasho inawatoka ila hata hawachekeshi
shukrani zaidi ziende kwa director wao karabani
Bdo wako kwenye production ya season 2,na inaonekana itakua hot sana coz more characters have been added to the saga...so wataipakua soon but kwa sasa msimu wa kwanza unaoneshwa tv1..wako vizuri sana coz juzi wameingizwa tuzo za AMAA baada ys kutoka tuzo za AMVCA...kiukweli watanzania tuwape sapot kwa kuwapigia kura sasa..
CV ya cheche mtungi ipoje