Tamthilia ya Mtungi

Tamthilia ya Mtungi

vikosi makuruti

Senior Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
192
Reaction score
68
Ndugu wanajamvi, nimeangalia season 1 ya hii tamthilia. Kusema ukweli is good, yaani katika tamthilia za kibongo nadiriki kusema hii ndo the best ever made in Tanzania, sasa natamani kuicheki ya pili na zote zilizobakia.

Tafadhali ninaomba kwa mtu anayejua namna navoweza kizipata aniijulishe.
 
Nenda kwenye YouTube channel yao utazikuta season na episode zote
 
Hawa walioigiza ndo mfano wa kuigwa na wasanii wengine,wanajua kuigiza halafu hata hawasikiki kivile kwenye media but kazi wanayofanya inakubalika
 
Hawana mvuto ndo maana hawasikiki, kama huyo cheche ana sura nzito kama tope, akicheka kama an alia, ndo tz yetu hata ujue kuigiza kias gani kama huna mvuto inakula kwako, nashangaa sijui kwa nn hawajifunzi kwa akina lupita nyongo
 
mkuu hawavutii ila hata youtube wana viewers wengi,kuna my friends uganda na burundi utakuwa wanafuatilia sana kuliko movies hizi zingine
 
Ndio watanzania tulivyo, wanataka kuona sura nzuri kweny screen , na maumbo mazur ya wanawake , kama mvuto huna na soko na lenyewe huna, ray yupo radhi asitoe filamu kabisa kama hamna ma handsome boy na warembo kwenye movies zake , ndio maana movies zake hazifik mbal
 
Wamezoa kuwaona makahaba wenye viwango binamu wakati mwenzao cheche akiingia kwenye kinyang'anyiro cha muigizaji bora wa kiume kwenye AMVC nigeria hao mpk wanazeeka hawajawah hata kuwekwa category ya upcoming actors/actress.
 
CV ya cheche mtungi ipoje
 
Ndio watanzania tulivyo, wanataka kuona sura nzuri kweny screen , na maumbo mazur ya wanawake , kama mvuto huna na soko na lenyewe huna, ray yupo radhi asitoe filamu kabisa kama hamna ma handsome boy na warembo kwenye movies zake , ndio maana movies zake hazifik mbal

Wanaoigiza wengi hawana vipaji,mfano kuna movie sijui inaitwa pusi and paku (sina uhakika na jina),mle ndani kaigiza Wolper,na dem mmoja pamoja na majuto,sasa Wolper na huyo dem mwingine wanajifanya wanachekesha,mpaka jasho inawatoka ila hata hawachekeshi
 
Aaaaah aah yah pusi na paku, huyo demu anaitwa Nisha, anajifanyag mtambo mtambo Iv , anatumia nguv nying kuchekesha kuliko akil, kuna baadhi ya mademu wanajitahid sana , kama ODAMA huyu movie zake ni super sana
 
Bongo wanaangalia sura na si kipaji ndo mana hawafiki mbali
 
Yap tamthiliya nzuri sana sijui kwanini hawatoi muendelezo!ipo poa sana!
 
Bdo wako kwenye production ya season 2,na inaonekana itakua hot sana coz more characters have been added to the saga...so wataipakua soon but kwa sasa msimu wa kwanza unaoneshwa tv1..wako vizuri sana coz juzi wameingizwa tuzo za AMAA baada ys kutoka tuzo za AMVCA...kiukweli watanzania tuwape sapot kwa kuwapigia kura sasa..
 
Mmh angekuwa wema sepetu wangempigia kura za kutosha. Now nimegundua tatizo ni watanzania au mashabiki , wanapenda kuona sura na maumbo mazur kweny movie. Kama huna mvuto imekula kwako. Cheche ni muigizaji mzuri hadi amekuwa nominated kwenye tunzo kubwa siyo mchezo, na angeshinda wabongo ndo tumem rostista, inabid wa tz waelimishwe kuhus maana halisi ya uigizaji na sio kuuza sura
 
Ndio tunatakiwa kuwaps sapot wasanii wetu kwa kupiga kura katika awards mbalimbali kma wanavyofanya nigeria kenya na south africa...tuwe wazalendo kwa wasanii wetu...
 
Du hii movie ni nzuri sana mimi naisubiri part 2 waigizaji wote wamevaa uhalisi sio kuact kizungu
 
Back
Top Bottom