Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli Siri ya mtungi ilikuwa tamthiliya bora na ilitambulisha vipaji vingi ambavyo vinafanya poa kwa sasa.Niseme tu kwa upande wangu ile filamu ilikuwa bora sana
Waigizaje wake walivaaa uhusika vema pia director alijitahidi
Ile kwa mm ndio project na tamthilia bora toka nchini kwetu
Huwezi fananisha na uchafu wa saluni ya mama kimbo
Mzungu akihusika kwenye jambo huwa hakiharibiki kitu. Kingine pia kilichochangia ni ushirikishwaji wa wazawa wamongwe na wenye weledi katika uandaaji na uigizaji.Niseme tu kwa upande wangu ile filamu ilikuwa bora sana
Waigizaje wake walivaaa uhusika vema pia director alijitahidi
Ile kwa mm ndio project na tamthilia bora toka nchini kwetu
Huwezi fananisha na uchafu wa saluni ya mama kimbo
Huyu Ramata ndio wa Jua Kali?Kweli Siri ya mtungi ilikuwa tamthiliya bora na ilitambulisha vipaji vingi ambavyo vinafanya poa kwa sasa.
Sema japo mimi sikuwa mpenzi wa filamu na tamthiliya za ndani, ila siku hizi wabongo wamepiga hatua sana. Ramata atafika mbali sana akiendelea na kasi yake.
Naomba unisaidie director wa ile movie je na karabani alihusika?Mzungu akihusika kwenye jambo huwa hakiharibiki kitu. Kingine pia kilichochangia ni ushirikishwaji wa wazawa wamongwe na wenye weledi katika uandaaji na uigizaji. Hizi tamthilia nyingine za wapaka Black Kichwani zinatayarishwa na wababaishaji.
Sasa ile director ni mzungu si unawajua wazungu hawana jambo dogo..Niseme tu kwa upande wangu ile filamu ilikuwa bora sana
Waigizaje wake walivaaa uhusika vema pia director alijitahidi
Ile kwa mm ndio project na tamthilia bora toka nchini kwetu
Huwezi fananisha na uchafu wa saluni ya mama kimbo
Yes Jua kali naona pia kahusika kwenye ile tamthilia nyingine sijui inaitwaje nayo iko 160 ina plot kama ya kale fulani.Huyu Ramata ndio wa Jua Kali?
Executive Producer simjui lakini kwenye utayarishaji hadi upigaji wa picha wazungu walihusika sana.Naomba unisaidie director wa ile movie maana kuna jamaa ananiambia ile ilikuwa project ya karabani kupitia mpango wa MFDI ambapo ile project wazungu walitoa zaidi ya 8 bilion je kuna ukweli?
SitawasahauNiseme tu kwa upande wangu ile filamu ilikuwa bora sana
Waigizaje wake walivaaa uhusika vema pia director alijitahidi
Ile kwa mm ndio project na tamthilia bora toka nchini kwetu
Huwezi fananisha na uchafu wa saluni ya mama kimbo
Wale pia walitengeneza filamu fulani alikuwemo sharo milionea rip, jokate na yusuph mlela nadhani ilikuwa inahudu malaria.Sasa ile director ni mzungu si unawajua wazungu hawana jambo dogo..
Alafu kwa kumbukumbu tu director wa siri ya mtungi ndio alikuwa director wa filamu za zamani ya neria, yellow cards , na filamu nyingine nyingi za mafunzo katika africa so ni professional na mwenye experience ya kutosha plus vifaa vya kisasa na channel anayo..
Mkuu kweli wewe mdau, safi sanaa🤣Wale pia walitengeneza filamu fulani alikuwemo sharo milionea rip, jokate na yusuph mlela nadhani ilikuwa inahudu malaria.
Yes, na eti walitafuta mtz wa kuandika script akakosa wakapata msouth kwa ajili ya siri ya mtungi. (Ni heresay sina uthibitisho juu ya hili).
Wale ni makaburu wa zimbabwe
Kuna umuhimu kuka tena kuamdaa project nyingineSasa ile director ni mzungu si unawajua wazungu hawana jambo dogo..
Alafu kwa kumbukumbu tu director wa siri ya mtungi ndio alikuwa director wa filamu za zamani ya neria, yellow cards , na filamu nyingine nyingi za mafunzo katika africa so ni professional na mwenye experience ya kutosha plus vifaa vya kisasa na channel anayo..
Sio kihivyo mkuu mimi napenda sana IDx, judge Judy, history channel chopped, na discovery 181. Sema kuna vitu vinanivutia kwenye juakali hasa maria na luka. Yule luka napenda uigizaji wake hasa anavyobadilika. Anavyoigiza kwenye juakali ni tofauti anavyoigiza kwenye samira maana huku kama mpole mlokole lofa huku gaidi mbabe.Mkuu kweli wewe mdau, safi sanaa🤣
Mkuu nasikia waliisitisha kwakuwa mambo hayakwenda kama walivyotarajiaKuna umuhimu kuka tena kuamdaa project nyingine
Wale pia walitengeneza filamu fulani alikuwemo sharo milionea rip, jokate na yusuph mlela nadhani ilikuwa inahudu malaria.
Yes, na eti walitafuta mtz wa kuandika script akakosa wakapata msouth kwa ajili ya siri ya mtungi. (Ni heresay sina uthibitisho juu ya hili).
Wale ni makaburu wa zimbambwe
Inawezekana iseee maana kuanda vitu safi kama vile ni gharama sana...Mkuu nasikia waliisitisha kwakuwa mambo hayakwenda kama walivyotarajia
Ile ilikuwa project series is managed by STRADCOM, a project of the Johns Hopkins Bloomberg School of Public Health Center for CommunicationPrograms (CCPMkuu nasikia waliisitisha kwakuwa mambo hayakwenda kama walivyotarajia
Ipo haja hiyo sana tu hapo bongo kuna stories nyingi sana tamu za kuandikia filam kubwa na zikatamba duniani..Kuna umuhimu kuka tena kuamdaa project nyingine