Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Ni heresay mkuu kuwa return na urasimu ndio ulifanya wasitishe hiyo project
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni heresay mkuu kuwa return na urasimu ndio ulifanya wasitishe hiyo project
ivi nitaipataje hii tamthilia maana ata sijui iliishia vip? nimejaribu kuitafuta youtube lkn wapi ?Niseme tu kwa upande wangu ile filamu ilikuwa bora sana. Waigizaje wake walivaaa uhusika vema pia director alijitahidi.
Ile kwa mm ndio project na tamthilia bora toka nchini kwetu. Huwezi fananisha na uchafu wa saluni ya mama kimbo
Hii waigizaji walifanyiwa hadi aptitude test,kuna msanii mmoja maarufu marehemu kwa sasa alikosa nafasi ya kuuliza mule baada ya kuleta ustaa na kushinda kujibu maswaliNiseme tu kwa upande wangu ile filamu ilikuwa bora sana. Waigizaje wake walivaaa uhusika vema pia director alijitahidi.
Ile kwa mm ndio project na tamthilia bora toka nchini kwetu. Huwezi fananisha na uchafu wa saluni ya mama kimbo
Lakini kwanni asiandaw kitu bora ili ajihakikishie soko lake?Niliwahi kuongea na mtengenezaji filamu mmoja miaka ya 2010, akaniambia kuna wakati msambazaji anakwambia atatoa 25m kwa movie nzima. Hiyo hela ulipe wasanii, location, mavazi, chakula, script writers, usafiri etc. Ndio maana movie zinakuwa za kipumbavu, hata translation ni za ajabu ajabu; movie inafanywa haraka haraka bila umakini kabisa.
Itoshe kusema, Siri ya mtungi ilikuwa na ufadhili wa kutosha.
Safii ndo sanaa inapaswa kuwa natamani sana director kama wale waje kisha kitabu cha hadithi ya mwandishi hussein tuwa kinaitwa mkimbizi akitengenezee filamuHii waigizaji walifanyiwa hadi aptitude test,kuna msanii mmoja maarufu marehemu kwa sasa alikosa nafasi ya kuuliza mule baada ya kuleta ustaa na kushinda kujibu maswali
Yes uhalisia upo sana kwenye hizi tamthilia kama Jua KaliSio kihivyo mkuu mimi napenda sana IDx, judge Judy, history channel chopped, na discovery 181. Sema kuna vitu vinanivutia kwenye juakali hasa maria na luka. Yule luka napenda uigizaji wake hasa anavyobadilika. Anavyoigiza kwenye juakali ni tofauti anavyoigiza kwenye samira maana huku kama mpole mlokole lofa huku gaidi mbabe.
Napenda sketa inavyokuwa kiasi kwamba huku aliigiza kapauka alivyotaka kuigiza samira ikabidi aende gym, aongeze mwili ili kuendana na ubabe.
Haya zamani yalikuwa hayafanyiki. Industry inakua nadhani DSTV wanawalipa pesa nyingi hawa madirector
Finance hakuna mkuu.Lakini kwanni asiandaw kitu bora ili ajihakikishie soko lake?