Tamthilia ya spartacus: Vita, Usaliti & Ukweli wa Historia

bless on

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2026
Posts
1,213
Reaction score
2,938
Kama kuna tamthilia iliyowahi kuchanganya ukatili wa vita, usaliti wa kisiasa, na maonyesho ya hatari ya arena za Rumi, basi ni Spartacus.

Simulizi hii inaelezea historia ya kweli ya mtumwa na gladiator kutoka Thrace aliyetekwa na kuuzwa ili kuwaburudisha matajiri wa Dola ya Warumi mnamo miaka ya 73 kabla ya Kristo (BC).

Wasichokijua wengi ni kuwa, hii series ni historia ya kweli kabisa.
Ukiacha midinyano, kipi kingine unakikumbuka kwenye hili zigo la kiwango cha lami.
 

Attachments

  • FB_IMG_1789309450092.jpg
    121.2 KB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…