Tamthilia ya Unfaithfull Azam Tv ni ya moto

Kalpana

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
32,603
Reaction score
62,269
Hii tamthilia bwana ni ya moto..imejua kuwaanika wanaume yani kiufupi ni tamthilia inayogusa maisha ya familia nyingi..

Kwa upande mwingine inafundisha wanawake kudandia waume za watu kunavyotokea puani...

Nasikia wanaume hawaipendi kabisaaa. Wahusika wakuu ni Asia,,volkan,,na Derin

Karibuni tuichambue nani anakuvutia na kwa sababu gani....
 
Si wengine matumizi ya king'amuzi cha Azam tunajua ni mpira tu.

Mpira usipokuwepo basi hata time nacho hatuna.
 
Duuuh mm niko kotekote...kama hakuna mpira na hakuna tamthilia nzuri basi nitapata tuu cha kuangalia
 
Hii tamthilia bwana ni ya moto..imejua kuwaanika wanaume yani kiufupi ni tamthilia inayogusa maisha ya familia nyingi..

Kwa upande mwingine inafundisha wanawake kudandia waume za watu kunavyotokea puani...

Nasikia wanaume hawaipendi kabisaaa. Wahusika wakuu ni Asia,,volkan,,na Derin

Karibuni tuichambue nani anakuvutia na kwa sababu gani....
Hii tamthilia nilimuona mama watoto anaingalia, nikaangalia siku moja... Kw kweli, wanaumehatuwez kuingalia, inatuchimba sana, ukiangalia na mkeo, lazima mgombane tu...

Sasa hvnikiona anaangalia, mm napitiliza kulala
 
Kweli kabisa...
Juzi nilikua naangalia na Mr pale Gunul alipokua anamfukuza mumewe..mr akasema labda kama sijajenga mimi na hata kama umejenga ww hunifukuzi kiboya boya hivyo 😀 😀 😀
 
Shida ni ile tafsiri ya zenu za kiswahilli, zinaboa na zinaharibu ladha na uhalisia wa tamthilia.
 
Back
Top Bottom