Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 1,064
- 2,076
Acha waendelee kutuchimba tuone watafukua nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tamthilia gani Azam wamewahi kuitoa inayopendwa na wanaume?. Toka niijue Azam wanaokota okota tu tamthilia za bei rahisi kwa ajili ya watoto na wanawake tu.
Asia anatuwakilisha vizuri sana
Kwa dar ni sawa,ksbb dar wanaume ni robo.Sultan...hizi nyingine mekosa mda wa kuzicheki ila hio sultan ilikua kiboko kariakoo nzima tulikua tunaichambua
Ulituwakilisha vyema. Hongera sana mkuu.Kuna jamaa tulikua nae sehemu akawa na haraka eti anawahi tamthilia toka siku hiyo nilifuta na namba yake pumbavu
Ananifurahisha anavyosaka assist ya mtoto wao Ili kumrudisha mke wake.Mwamba anapata tabu sana ila anampenda kweli demu wake wa zamani hope watarudiana
Ananifurahisha anavyosaka assist ya mtoto wao Ili kumrudisha mke wake.
Binafsi cjui labda nitumie kipandeHii tamthilia bwana ni ya moto..imejua kuwaanika wanaume yani kiufupi ni tamthilia inayogusa maisha ya familia nyingi..
Kwa upande mwingine inafundisha wanawake kudandia waume za watu kunavyotokea puani...
Nasikia wanaume hawaipendi kabisaaa. Wahusika wakuu ni Asia,,volkan,,na Derin
Karibuni tuichambue nani anakuvutia na kwa sababu gani....
Sasa uhondo unauona ww wakinasisu tuko startime haipo iyo nipe kipande niidadavueIla hii Tamthilia tamu nyie...