mwamba anazidi kuchana mkeka maskini ......... ๐๐Ya leo ndo kachemka kabisa..sema amekutana na ka toto ka Derin kaoga...
Hapa comment hapaTusio na tv wala vingโamuzi tunakoment wapi
Hii tamthilia nilimuona mama watoto anaingalia, nikaangalia siku moja... Kw kweli, wanaumehatuwez kuingalia, inatuchimba sana, ukiangalia na mkeo, lazima mgombane tu...Hii tamthilia bwana ni ya moto..imejua kuwaanika wanaume yani kiufupi ni tamthilia inayogusa maisha ya familia nyingi..
Kwa upande mwingine inafundisha wanawake kudandia waume za watu kunavyotokea puani...
Nasikia wanaume hawaipendi kabisaaa. Wahusika wakuu ni Asia,,volkan,,na Derin
Karibuni tuichambue nani anakuvutia na kwa sababu gani....
Kweli kabisa...Hii tamthilia nilimuona mama watoto anaingalia, nikaangalia siku moja... Kw kweli, wanaumehatuwez kuingalia, inatuchimba sana, ukiangalia na mkeo, lazima mgombane tu...
Sasa hvnikiona anaangalia, mm napitiliza kulala
Shida ni ile tafsiri ya zenu za kiswahilli, zinaboa na zinaharibu ladha na uhalisia wa tamthilia.Kweli kabisa...
Juzi nilikua naangalia na Mr pale Gunul alipokua anamfukuza mumewe..mr akasema labda kama sijajenga mimi na hata kama umejenga ww hunifukuzi kiboya boya hivyo ๐ ๐ ๐