Tamthilia ya Unfaithfull Azam Tv ni ya moto

Kuna tamthilia gani Azam wamewahi kuitoa inayopendwa na wanaume?. Toka niijue Azam wanaokota okota tu tamthilia za bei rahisi kwa ajili ya watoto na wanawake tu.

Sultan...hizi nyingine mekosa mda wa kuzicheki ila hio sultan ilikua kiboko kariakoo nzima tulikua tunaichambua
 
Sultan...hizi nyingine mekosa mda wa kuzicheki ila hio sultan ilikua kiboko kariakoo nzima tulikua tunaichambua
Kwa dar ni sawa,ksbb dar wanaume ni robo.

Sultan nayo ni tamthilia vile vile ilivyo mtu anakufa na kufufuka. Ndio maana nimesema Azam anaonyesha tamthilia za kuwadanganyishia watoto na wanawake tu,na ndio kipato chake kipo hapo. Ktk dunia hii ukifanikiwa kuwakamata fikra wanawake kwenye biashara,wewe umewin.

Tamthilia zilikuwa enzi za ITV miaka ya 2000,mpaka 201+. Kwa uchache Acapruco bey,Camila na zingine. Kitu kinakuwa kwenye uhalisia.
 
Jamani kuna mtu anafatilia The Ottoman[emoji3064][emoji3064]

mbona kama inaboa sana yani ety au nyie mnaonaje??
 
Mwamba anapata tabu sana ila anampenda kweli demu wake wa zamani hope watarudiana
 
Binafsi cjui labda nitumie kipande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…