Tamthilia ya Zahanati Kijijini

halafu ile ya kina ray "jeraha" character ya yule kishtobe inakera jamani dah
Kwa mimi naona hana shida kwani watu wa nsmna ile pasua kichwa wapo ila naona kuna tatizo na shida kwenye character ya mapenzi ya Ray na Chuchu. Yaani ni kama mapenzi ya kuku/vifaranga. Pale wamebugi hakuna duniani maisha ya namna ile au ndio vijana wa Dar mnaishi hivyo majumbani mwenu?
 
Zahanati Inaisha ghafla jmn[emoji3064]
Mwisho leo.

Huku mwisho Abdul ameikimbiza sana,kuna haja ya Azam kupanga wigo maana nadhani walisema wanarusha eps si Zaidi ya 80.
Tatizo la Bongo tunapenda vitu fastaa, hii tamthilia ilibidi iende hadi vipande si chini ya 150.
Kwa kifupii wanakosea, mbna DSTV kule at least wanajitahidi,

Ila hata Jua kali naona inaelekea ukingoni pia.
 
hata mimi nashangaa ila ni uhalisia the same to mlilo na kishobe si unawaona? chuchu kapenda na mlilo kule kapenda
waigizaji wapo gado wamefit me kishtobe ananpa hasira mkuu
 
Thea ni muigizaji mkongwe na mzuri.

Kwa kweli mimi naipenda ya fungu langu.
hata hiyo nzuri mara ya mwisho niliiachia kule hotelin nelson alianguka sijui alipatwa na nn?
yule dogo newton anapiga mpaka shangazi na lucy mke wa faza?duh
 
hata hiyo nzuri mara ya mwisho niliiachia kule hotelin nelson alianguka sijui alipatwa na nn?
yule dogo newton anapiga mpaka shangazi na lucy mke wa faza?duh
Alihudumiwa akapata nafuu,Muda huohuo mkewe akaenda kutapika,
Wakampima ujauzito wakakuta anao.
Watafurahi.

Newton aliwatoroka , Chelsea na Robina,akaenda kulala kwa Lucy,,asbh akarudi.

Lucy alitembelewa na baba yake,akagongana na Erick,akataka ampasue na bastola😂,akamfukuza.

Huyu dogo ni hatari kwa mishangazi.
 
Tatizo la Bongo tunapenda vitu fastaa, hii tamthilia ilibidi iende hadi vipande si chini ya 150.
Kwa kifupii wanakosea, mbna DSTV kule at least wanajitahidi,

Ila hata Jua kali naona inaelekea ukingoni pia.
Azam wanapokea vipindi vichache
Inawapa shida maproducer, Inabidi akimbize tu ili iishe.

Ila ninachoshukuru Mungu kosa moja imeisha
Ilikuwa inanikera🤣,Jvoice na Nembo tu ndo walikuwa wananichekesha.

Bwaja na yule bekitatu walikuwa wananiboa tu.
Waandishi wa habari hakuna kitu pale,
Caty hakuna kitu
Mtu anaigiza msanii hata kuimba hawezi.

Inshort ilikuwa inachosha.
 
Sana mkuu upo kama mimi
 
zahanati ya kijiji umetuacha, hakika ni moja ya kazi nzuri
kile kipande zagalo anamtumia text masalu mjini kinagusa moyo sanaa

pia pale mama mwazani na wanae mbwana alipofeli inauma
all in all kazi nzuri
 
Mama Mwazani ametia huruma jamani.

Halafu sijafanikiwa kuangalia kipindi cha kwanza,niliikuta pale bi Ubwa Analia.

Sema Kimbembe ni comedian yule jamaa
 
Mama Mwazani ametia huruma jamani.

Halafu sijafanikiwa kuangalia kipindi cha kwanza,niliikuta pale bi Ubwa Analia.

Sema Kimbembe ni comedian yule jamaa
mtendaji alikamatwa oa polisi na dokta, gati alikimbia wakamdaka nae
mama mwazani alimkana dokta et "wee mpo wote na nani? we chizi nn?"

alikuja mtu kutoka ofisi ya mkuu wa wilaya akawapa barua kuwa wapeleke vyet vyao kumbe bi ubwa ana vyeti feki ndo akawa analia

masalu alipigiwa cm kuwa ampeleke diku azam ndo akakopa kwa zagalo
nae msichoke si akamfata mbiki ndan zahanati ikawa vurugu tu
 
Kwahiyo nawe kuna manesi wanaishi na kufanya vile kwenye zahanati ipi nchi hii. Wameongeza sana Mbwembwe na kuua uhalisia wake bro.
Sifuatilii hizi mambo lakini hapo kwenye zahanati zisizo na wafanyakazi wapuuzi unaishi Tanzania ipi mkuu?
 
Kosa 1 niliachaa kitamboo, japo mwanzo niliipendaa, ila ilikuja kunikataa stimu kabisaa aaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…