Tamthilia ya Zahanati Kijijini

Tamthilia ya Zahanati Kijijini

Sifuatilii tamthilia za kibongo ila zahanati ya Kijiji niliipenda, but mwisho director amefeli kidogo, mfano kafanikiwa kuonesha mafanikio ya kufikia ndoto kwa diku na tausi ,kwa upande wa masalu hajatwambia uhusiano na tausi ulifikia wapi?. Vipi kuhusu mimba ya yule mwendawazimu . Na mambo mengine.
 
Aisee nitaipata wapi hii tamthilia?? Kama kuna mwenye nayo atume.
Download Azamtv Max, ingiza namba ya Kadi ya king'amuzi
Kama hauna namba ya Kadi ya king'amuzi basi fungua account uwe unalipia kifurushi cha wiki cha bei ya chini kabisa
Utaikuta kuanzia episode 1 hadi ilipofikia
 
M pia nilikua siijui bt kuptia my mom ambaye yy anaifatilia na ni nesi mstaafu nilijkuta naiangalia mda nlo kua likzo ya kaz home kwa maza! Lamata ndo director pia anayo juakali ipo dstv ni moto sana kuliko hata zahanat ya kijij
SIO KWELI JUA KALI HAIFUI DAFU KWA ZAHANATI YA KIJIJI
Nadhani Jackson kabirigi na Kampuni yake ya Nabra creative company anajua kwakweli.
sio yake n
Ndiyo kabirigi ni msanii lakini Abdul ni direct
Ndiyo kabirigi ni msanii lakini Abdul ni director
SIO KWELI ABDUL SIO DIRECTOR .DIRECTOR NI SALUM MAJAG .ABDUL NI MWANDISHI NA PRODUCER
or

i ABDULABDUL
 
Huku kwenye hii mchongo huyu mima huwa ananifanya nisimcheki

Analia sana
 
Download Azamtv Max, ingiza namba ya Kadi ya king'amuzi
Kama hauna namba ya Kadi ya king'amuzi basi fungua account uwe unalipia kifurushi cha wiki cha bei ya chini kabisa
Utaikuta kuanzia episode 1 hadi ilipofikia
Shukran mkuu, namba ya card ninayo bt shughuli kule ni mb ndugu yangu bora wangekuwa wameweka ata option ya kupakua, naitaka niweke kwenye flash yangu ile ni nzr ata kuangalia na watu wa rika zote.
 
Ile nayo imezidi kuonekana imeongeza chumvi. Yule Amandina ana kazi ya kumpokea na kumgombeza mme wake tu. Sidhani kama kuna mwanaume duniani anakubali ule upuuzi.
Amezidi aisee...hakuna mwanamke wa hivyo yani mwanzo mwisho ni kuzozana tuu..halafu sio mtanzania au?
 
Back
Top Bottom