Tamthilia ya Zahanati Kijijini

Tamthilia ya Zahanati Kijijini

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zahanati imenifanya niangalie TV.
Kwa kweli kochi ninalokalia ni special ..
Huwa naweka mito, nakaa juu yake
Mito imebonyea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna dada mmoja huko moshi alikua yeye na Tv na matamthilia enzi hizo ya kifilipino yani kochi lilikua la ngozi mpk ngozi ikachanika pakatokea mbonyeo wa hatari...sasa bwana yule dada alikua ameolewa mumewe akirudi yupo busy na tamthilia inaisha saa tano kasoro..kuna muda anapandishia na movie...weee alichofanyiwa na yule mumewe hatakuja asahau...
Itaendelea....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mama manzani na bi ubwaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wanajitahidi sana
pale mtendaji alipopiga risasi watu walivyosepa dah
pia kuna mwana kageuka boda kumbeba bi ubwa kule kosa moja mwanetu jay mzee wa macho matatu na chawa wake nembo

Nembo anapenda pesa jamani kila saa
 
Ila jamani fungu langu ni mbayaaa
Mimi ananichekesha Msungu.
Episode ya jana nimecheka, alivyokuwa anawafyonza ndugu zake[emoji1787]

Mimi naona bora fungu langu kuliko ile ya kina Chuchu.
Inanichosha balaa,nilidhani itakuwa kali mno maana waliinadi sana,lakini kumbe ni ya kawaida mno hadi sasa sijaona maajabu yoyote.
 
Mimi ananichekesha Msungu.
Episode ya jana nimecheka, alivyokuwa anawafyonza ndugu zake[emoji1787]

Mimi naona bora fungu langu kuliko ile ya kina Chuchu.
Inanichosha balaa,nilidhani itakuwa kali mno maana waliinadi sana,lakini kumbe ni ya kawaida mno hadi sasa sijaona maajabu yoyote.
Yaan wanaboa
 
Gati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Nimecheka mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom