Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅😅😅😅Yani tumetoka kusuluhishwa ukwenj suala langu la kuchepuka ila tunarudi nyumbani tunawasha TV tu tunakuta tamthilia halafu mwanaume ana wanawake wawili na ana mtoto nje halafu mke wake hajui. Yani hapa nishanuniwa tena.
Kwa kweeli. 😂Pole kwa kuoa mfilipino
Shadeeya Kuna muujiza mwingine hapa,,Hao wenzetu huwa wanacopy KILA kitu bila kuchuja.
Vitu vyao huwa haviishi. Mimi najuta nilitongoza dada wa Kazi yaani ikafika hadi ukweni.
Nimekoma yaani hata awe mzuri kuzidi malaika nitaweka plasta tu machoni kulinda heshima. Sikutafuna ila maneno yake ni bora ningetafuna tu.
iyo faya banYani tumetoka kusuluhishwa ukwenj suala langu la kuchepuka ila tunarudi nyumbani tunawasha TV tu tunakuta tamthilia halafu mwanaume ana wanawake wawili na ana mtoto nje halafu mke wake hajui. Yani hapa nishanuniwa tena.
Hahahaaa. Huyo kanyooshwa na si ajabu kila mke akikumbuka anaiweka hoja mezani mpaka inaleta tena mtafaruku upyaa. 😅Shadeeya Kuna muujiza mwingine hapa,,
Ila na wewe ni kilaza kutongoza tu ukashikwa😂😂😂Kama naliona Hilo timbwili sidhani hata km ulisimamisha kwa kipindi Cha mwezi mzima
Alivurugwa sawasawa😂😂😂Hahahaaa. Huyo kanyooshwa na si ajabu kila mke akikumbuka anaiweka hoja mezani mpaka inaleta tena mtafaruku upyaa. 😅
Ila nini ndo akome.
Yani kama hii ya Two wife ya Azam mpaka natamani iishe maana inaninyima raha nashindwa hata kuchangia mada, halafu utakuta mchepuka anakupigia simu yani mwenzenu, sasa hivi napenda taarifa ya habari tuu.Hv tamthilia hz acha kabisa,kuna muda zinawagusa kabsa namna mahusiano yenu yanavyoenda