Tamthilia za Somalia za kalisha tamthilia za Tanzania kwa kushinda tuzo za Filamu ‘ZIFF’ 2024

Tamthilia za Somalia za kalisha tamthilia za Tanzania kwa kushinda tuzo za Filamu ‘ZIFF’ 2024

jjackline

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
111
Reaction score
274

Muandaaji wa filamu nchini Somalia, Ahmed Farah amewamwaga waongozaji wa Tanzania baada ya kushinda Tuzo za Kimataifa za Filamu ‘ZIFF’ 2024 zilizotolewa leo Ngome Kongwe Zanzibar.

Ahmed kupitia filamu yake ya Arday ameshinda Tuzo ya ZIFF 2024 katika kipengele cha tamthilia bora ya Afrika Mashariki. Kipengele hicho kilishindaniwa na tamthilia za Tanzania kama vile Jua Kali ya Leah Mwendamseka, Jacob Stephen (Report), Simon Cherehani (Twisted) , Ramadhan Said (Bunji) na Florence Mkinga (Dhohar).

Hata hivyo tamthilia za mataifa mengine zilizowania kipengele hicho ni kutoka Uganda Uganda (Sanyu) iliyoongozwa na Mathew Nabwiso, Allan Manzi (Junior Drama Club) na (Damalie ) Don Mugisha kwa upande wa Kenya (Volume) iliyoongozwa na Tosh Gitonga.
Soma pia: Hivi mbona filamu za Kibongo Bongo huwa hazishindi chochote kwenye hafla ya Zanzibar International Film Festival

jua kali.jpg
 
Back
Top Bottom