Tamthilia zinamomonyoa ndoa ya mshkaji...

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,346
Kuna jamaa yangu mtaani analalama kuwa mke wake anapenda sana tamthilia zinazoonyeshwa kwenye TV. Shida inakuwa jamaa anapenda kulala mida ya saa nne, lakini unakuta mke anakuja kulala saa tano na nusu hivi akitoe sebuleni. Jamaa anakuwa tayari kwenye usingizi kiasi kwamba hata siku ambayo alihitaji game hawezi tena maana ucngizi unakuwa ushamlegeza. Mke wake ye namshtuaga wafanye asubuhi sasa jamaa analalama kuwa ile inamchosha na kusinzia sana kazini hivyo anaikwepa.

Alinieleza tatizo lake juzi tukiwa baa na kwa kuanza kumsaidia nilimwitia 'mhudumu' mmoja wa kwenye mgahawa, nikawaintroduce, alaf nikamwambia yule dada jamaa alipenda kumpa ofa ya chupa kadhaa (ingawa nililipia tatu mwenyewe) alaf nikawaacha nikasepa zangu. Jana nilimpigia mshkaji kaniambia kuwa ilisaidia maana walau aliporudi hom ilikuwa mda wa tamthilia umeisha...

Kina dada angalieni tamthilia lakini jalini na 'wazee' wenu pia....
 
inabidi naye awe anaangalia tamthilia ili waende sawa au kama namna gani vipi anunue TV ya chumbani ili awe anaangalia huku anammega. Zile TV za chumbani zina maana kubwa sana wala sio anasa ni basic need ya ndoa kabisa
 
Haktanani tena umegonga ikulu. Cha msingi asitumie ubavu........ zile tamthiria huwa zina marudio, tumia lugha laini ili umshawishi atazame marudio. Tatizo wengi ni watemi..........
 
Nadhani katikati ya mmego lazima kuelewa tamthiria kusimame
 
inabidi naye awe anaangalia tamthilia ili waende sawa au kama namna gani vipi anunue TV ya chumbani ili awe anaangalia huku anammega. Zile TV za chumbani zina maana kubwa sana wala sio anasa ni basic need ya ndoa kabisa
He! sasa hapo kuna tofauti gani na kupiga NYETO???!!!
 
Haktanani tena umegonga ikulu. Cha msingi asitumie ubavu........ zile tamthiria huwa zina marudio, tumia lugha laini ili umshawishi atazame marudio. Tatizo wengi ni watemi..........

Tatizo marudio yanakuwa mchana wakati wengi wapo kazini!
halafu usiombe uwe teja wa tamthilia!,inabidi amnunulie bia hapo nyumbani
akirudi tu ampatie asogeze muda,kumkataza asitazame tamthilia pia ni kumnyima haki yake!
 
Ndoa inakutanisha watu wenye tabia tofauti, kama mama anapenda tamthilia jamaa asilaumu sana, mpe mama haki yaki aangaliae, huenda inampa piece of mind kubwa sana asijaribu kumvuruga, acha aendelee tu ila tafuta jinsi ya kumvuta room nunua ka luninga kadogo weka room mwana, anapokuwa anaangalia usilale na kulalama tu kuwa close naye mpe mahaba bin mahubati nakuhakikishia mwenyewe atawahi kuingia room saa mbili sasa badala ya saa tatu
 
Unapokubali kuolewa/kuoa lazima ukubali kusacrifise baadhi ya vitu unavyopenda. Yaani nilitumia nguvu kutongoza, kuomba uchumba na kubembeleza ndoa alafu leo tena nianze kubembeleza kuita chumbani. Nitawaza mambo ya maendeleo saa ngapi?
 
kiukweli mwanaume akikomaa nisitazame tamthilia nitakubali kwa heshima yake ila nitamwona mbinafsi sana!
sitamfurahia kabisa............ata ushirikiano kwenye naniliii utakuwa mdogo!
 
kiukweli mwanaume akikomaa nisitazame tamthilia nitakubali kwa heshima yake ila nitamwona mbinafsi sana!
sitamfurahia kabisa............ata ushirikiano kwenye naniliii utakuwa mdogo!

ndoa ni kuvumiliana

kamamwanamke anaweza 'amwambukize' mzee naye aipende ili waangalie wote kisha wakalale,,,,, la sivyo iwepo TV chumbani.....:confused2:
 
Huwa tunavumilia sana kipindi cha world Cup,UEFA champion sijui na nini vile .....
Mwambie shemeji awe anaangalia tamthilia na mama ...wanaenda kulala pamoja
 
maisha ya ndoa sio mchezo, maana kila siku kinakuja kituko kipya kabisa kinataka ushauri,

vipi jamani kwa waliooa, mnawashauri wasiooa wasioe kabisa?
 
Mimi infwakti ni mhuhanga wa simu za usiku wa manane... eti usingizi sina nlikuwa naangalia tamthilia...!! ukimuuliza mengine ya maisha...zeeeeeerooooooo!!!! mwisho wanaishia kuwa majamvi tu!!
 
maisha ya ndoa sio mchezo, maana kila siku kinakuja kituko kipya kabisa kinataka ushauri,

vipi jamani kwa waliooa, mnawashauri wasiooa wasioe kabisa?

Aya we vipi asa tukiwashauri wasioe Vituko vipya vitakujaje? Waoe bana tuendelee kujadili..............eh next episode please!:becky::becky::becky::becky:
 
Jamaaa anamfikisha kweli mkewe? Maana kama wanafikishana wote hiyo tamthilia haiwezi kuwa sababu au shida.
Pili Mwambie huyo jamaaa asikariri kula uroda sio mpaka kitandani hata pale pale sebuleni anaweza kumega. mwambie ajaribu style inaitwa jipimie huku mkewe anaangalia tamthilia yeye kampakata. teh teh teh teh Kila mtu anafaidi kitu roho inapenda.

Mwambie achague position moja anaweza kuibatiza jina "tamthilia position "
http://www.sex-techniques-and-positions.com/positions3b.html
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…