Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,346
Kuna jamaa yangu mtaani analalama kuwa mke wake anapenda sana tamthilia zinazoonyeshwa kwenye TV. Shida inakuwa jamaa anapenda kulala mida ya saa nne, lakini unakuta mke anakuja kulala saa tano na nusu hivi akitoe sebuleni. Jamaa anakuwa tayari kwenye usingizi kiasi kwamba hata siku ambayo alihitaji game hawezi tena maana ucngizi unakuwa ushamlegeza. Mke wake ye namshtuaga wafanye asubuhi sasa jamaa analalama kuwa ile inamchosha na kusinzia sana kazini hivyo anaikwepa.
Alinieleza tatizo lake juzi tukiwa baa na kwa kuanza kumsaidia nilimwitia 'mhudumu' mmoja wa kwenye mgahawa, nikawaintroduce, alaf nikamwambia yule dada jamaa alipenda kumpa ofa ya chupa kadhaa (ingawa nililipia tatu mwenyewe) alaf nikawaacha nikasepa zangu. Jana nilimpigia mshkaji kaniambia kuwa ilisaidia maana walau aliporudi hom ilikuwa mda wa tamthilia umeisha...
Kina dada angalieni tamthilia lakini jalini na 'wazee' wenu pia....