NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Siipingi hii biashara hata kidogo
Jamaa yangu mmoja aliamua kuacha kazi kisa tu eti kuna mtu alipata hela kiasi cha dola 350,000
Kumbe hajui bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi
Kwa hulka yake sio mtu wa kuchakarika hivyo ilimshinda
Aliishi maisha ya kubangaiza kwa tabu sana hadi leo mwaka wa 13 sasa