Tamu na chungu ulizopitia wakati unaanza biashara yako

Mkuu mtaji umejilipua kiasi gani
 


SiJaelewa yani human resource office ulikua hupati au ulipata ila sio mwaminifu?
 
Mbongo kuonyesha alichofanikiwa watu waige ni Noooo lakin alipofeli anaeleza bayana. Teh teh. Tuonyeshe hyo fursa bhna.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ulifanikiwa kuanza?
 
Okay mi ni ME sio bibie. Nakutumia namba ya dalali mmoja PM ni mshkaj mwelewa mcheki unaezapata ABC za sokoni kutoka kwake
Kitu kimoja kinachofanya watanzania kushindwa biashara ni kukopi wengine wanavyofanya na kufanya biashara zote zifanane na kuwa kama zinafanywa na mtu mmoja. Na mbaya zaidi tunakopi mpaka makosa, tabia na hatutaki kufanya kitu tofauti. Hawa watu wanaoitwa madalali mara nyingi ni watu wabaya sana na wanachangia watu wengi kuanguka. Mtu ukiweza kuwakwepa utakuwa umepiga hatua kubwa sana.
 
SiJaelewa yani human resource office ulikua hupati au ulipata ila sio mwaminifu?
Tanzania wafanyakazi ni wengi sana. Ukiwa na biashara yako huwezi kukosa mfanyakazi. Kazi ipo kwenye uaminifu na customer care! Kupata mtu mwaminifu na anayejali wateja ni kama unatafuta sindano kwenye mchanga wa bahari.
 
Biashara Ni mauzo Uza Uza uzaaaa 😂

Anyway kwenye biashara kuna siku mbaya na siku nzuri so Lazima uzijue zote

kuna siku sijauza siku mbili nakuja nafungua mpaka jioni sijauza nafunga naenda home

lakini kuna siku nimefungua tu akaja Mteja ile mpaka Anaondoka kaniachia 140,000/= mkononi hapo kuja kupiga hesabu faida kama elfu60 hivi

Muhimu ni kuzijua siku mbaya na nzuri MUNGU AWEZI KUKUNYIMA SIKU ZOTE
 
Nilijifunza vitu muhimu vya kuzingatia.
Location ya biashara na usimamiaji. (Tumia muda mwingi sana na umakini kwenye kutafuta location.)
 
Biashara ulizofail ndo umetuelezea ila uliyofanikiwa ambayo unafanya hadi sasa umeificha....!!hii nayo n aina ya uchawi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni kweli aiseee boss ni adui wa mfanyakazi.
Hii imenikuta pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha niliwahi lima mpunga alafu akawa anasimamia rafiki yangu aisee ile hasara sitakuja kusahau
haha umenikumbusha mbali mkuu, kilimo cha simu, my mom alilimaga mpunga akamuweka mdogo wake asimamie ruvu hasara ilikuwa kubwa kutokana na usimamizi kuwa mbovu anyway, my point is biashara yoyote inahitaji usimamizi wa muhusika 100%
 
Nakumbuka changamoto kutakwa na mabinti na Wamama watu wazima wakati huyo nilitokea kijijini Uchaggani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…