Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Umenena vyema, biashara ni mauzo...
Ukishindwa kuuza ni hakuna biashara hapo ,ata mwajiliwa anauza ujuzi wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena vyema, biashara ni mauzo...
Mkuu mtaji umejilipua kiasi ganiMnamo tar21 mwez wa tisa mwaka huu nlifungua wakala (mpesa, tigo, airtel, na halotel) kariakoo nakumbuka cku hyo ckufanya muamala hata mmoja. Nliwaza nkamwambia Mungu n nini hiki sasa. Daah wateja wakawa kidogo wanakuja mwanzo wa mwez wa kumi ka kamishen kakaja hakafiki hata elfu hamsini daah kweli nkavunjika moyo sana.
Leo namshukuru Mungu kidogo wateja wanakuja japo nnaamini hadi mwakani nitasmama kwa kudra za mwenyezi Mungu. Sitaki kabisa kuajiriwa kwakuwa nishaajiriwa miaka miwili skuambulia chochote zaid ya kulipa kodi na kununua vitu vya ndani bas
Changa'moto niliokutana nayo katika biashara zangu ni 'human resource' kupata mtu mwaminifu self driven and determined katika kazi zangu, limenichelewasha kua millionaire....watanzania wengi wakiwemo na ndugu sio waminifu hawapendi kazi boss wao anachukuliwa kama adui wao
Biashara ni ngumu kwavile imeambatana na changamoto ambazo wakati mwingine ni vigumu kuziepuka.
Mfano:
1. Uzoefu
2. Uaminifu
3. Uvumilivu
4. Usimamizi n.k
Kwanza nilianza na ufugaji wa nguruwe mmoja jike. Nikaenda nae vizuri tu. Kushika mimba, kabla hajajifungua akaanza kuumwa. Akawa anakosa nguvu za miguu, kuna jamaa mfugaji mzoefu, nilipomuelezea akasema kuna sindano inabidi achomwe. Tulipomchoma ile sindano, baada ya siku mbili mimba ikatoka. Nguruwe akaja akapona. Akashika mimba nyingine na kujifungua vitoto 5,mmoja akafa. Tukaenda nao pia fresh, ila wanakula kupita maelezo. Vilipoacha kunyonya, tukauza 3 kimoja kikabaki. Baada ya kuona uelekeo sio, mama mtu nikachinja na kuuza nyama buchani. Hela haikurudi. Nikapiga chini huo mradi.
Nikasogea kwenye kilimo. Tikiti na maharage. Hudumia sana shamba. Kwenye kuvuna, tikiti ilinipiga hasara moja matata sana. Nikapiga chini. Nikahamia kwenye kusafirisha maharage toka mkoani kuleta Dar. Nilichora mchoro vizuri tu. Nikanunua mzigo wa kutosha na kuuagiza uje mjini. Huku town alikuwepo jamaa yangu mmoja, mtu wa karibu sana (alikuwa mtu wa karibu sana, maana sio wa karibu tena). Jamaa akaupokea mzigo na kuusimamia kwa wale madalali wauzaji. Daily ananipa mrejesho wa maendeleo, nikawa nafurahishwa na bidii yake. Kumbe daily anaenda kuchukua hela alaf anaweka heshima mitaani na bar (mimi sina habari). Kuja kustuka, kashakula hela 75%, huku mimi ananiongopea madalali hawajampa bado. Biashara ikafa.
Nikageukia kwenye tangawizi. Nikalima vizuri na kila kitu kikawa chini ya usimamizi wangu mwenyewe. Kwenye mavuno mambo hayakwenda vizuri, ila walau niliona mwanga fulani hivi. Ikabidi niwekeze tena kwenye ili zao. Msimu wa pili kilichotokea ni afadhali ya msimu wa kwanza. Kama sijapalaraizi shambani, basi sidhani kama ntakuja kupalaraizi maishani mwangu. Kifupi shambani kitu pekee nilichoambulia ni kuitwa bossi na wale vibarua, zaidi ya hapo niliwafaidisha wao tu mimi sikupata kingine. Nikasema kilimo kwangu bye bye, siingii shambani tena.
Nikaamua kufungua duka la nafaka kwa reja reja. Ushindani niliokutana nao sio wa kawaida. Mara leo mtu aje kuulizia, then anakwambia ntarudi kuchukua kiasi kadhaa siku nyingine. Kumbe nae anafanya biashara hiyo hiyo so alikuja kunichunguza. Mara wamama watake mkopo. Kipindi mchele umekuwa hadimu mtaani, bei ya chini ilikuwaga 1500 kwa kilo, ila watu wanataka mchele wa 1300,tabu tupu. Baada ya miezi 4,nikaamua kupiga chini. Maana mzunguko ulikuwa mdogo saaana, nikawa namfaidisha mwenye fremu tu.
Kutokea hapo ndio nikaamua kuwekeza kwenye kitu kingine kabisa, tena nilianza na mtaji wa 1.5 milions. Nikaamua kusimamia mwenyewe mwanzo mwisho, hapo atleast ndio mwanga kidogo ukaonekana. Now nafikiria ni jinsi gani nitaitanua .
***** ****** ****** ******
Biashara zinahitaji kujitoa. Ukiweza kuweka hela yako sehemu, basi hakikisha unaweza kuweka na muda wako. Vinginevyo utaishia kufaidisha wengine.
SiJaelewa yani human resource office ulikua hupati au ulipata ila sio mwaminifu?
Mkuu ulifanikiwa kuanza?Mimi baada ya mkataba wangu kazini kuisha nlikaa wiki mbili nkitafakari biashara. Nlipata mawazo mengi sana ya biashara. Nliplan kufungua carwash tabata mawenzi pale highbury bar ile nmepanga kwenda kuonana na mmiliki nkaskia na wao wameanza kujenga as if waliniskia mawazo yng. Nkabadili na kuwaza nchukue viazi njombe na iringa nlete dar nkaenda sokoni mabibo nkapewa ABC za kaz nkauliza shamban nkaona mtaji wangu utapelea kidogo na ntatake risk maana hela inaweza isirud kutokana na hali ya mda ule viazi kibao sokoni. Nkaplan banda la chips nkaona sina kijana mwaminifu wa kufanya nae kazi ile. Mwisho nkaja na hitimisho nifungue wakala kariakoo nikiamini wakala hela nloinvest kupungua ni ngumu sana labda mimi nitumie au nitapeliwe jambo ambalo nipo nalo makini sana wakati huo nkiangalia fursa nyingine nyingine. Sasa nna plan biashara hii ikizaa matunda nidiversify kwenye nyingine nyingi kama phone and accessories shop, car wash na migahawa. Naamini kwa kudra za mwenyezi Mungu lengo litatimia
Kitu kimoja kinachofanya watanzania kushindwa biashara ni kukopi wengine wanavyofanya na kufanya biashara zote zifanane na kuwa kama zinafanywa na mtu mmoja. Na mbaya zaidi tunakopi mpaka makosa, tabia na hatutaki kufanya kitu tofauti. Hawa watu wanaoitwa madalali mara nyingi ni watu wabaya sana na wanachangia watu wengi kuanguka. Mtu ukiweza kuwakwepa utakuwa umepiga hatua kubwa sana.Okay mi ni ME sio bibie. Nakutumia namba ya dalali mmoja PM ni mshkaj mwelewa mcheki unaezapata ABC za sokoni kutoka kwake
Tanzania wafanyakazi ni wengi sana. Ukiwa na biashara yako huwezi kukosa mfanyakazi. Kazi ipo kwenye uaminifu na customer care! Kupata mtu mwaminifu na anayejali wateja ni kama unatafuta sindano kwenye mchanga wa bahari.SiJaelewa yani human resource office ulikua hupati au ulipata ila sio mwaminifu?
Nataka nimtafute kijana mmoja tupige biashara ya kuuza kuku kama mboga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]
Biashara ulizofail ndo umetuelezea ila uliyofanikiwa ambayo unafanya hadi sasa umeificha....!!hii nayo n aina ya uchawiBiashara ni ngumu kwavile imeambatana na changamoto ambazo wakati mwingine ni vigumu kuziepuka.
Mfano:
1. Uzoefu
2. Uaminifu
3. Uvumilivu
4. Usimamizi n.k
Kwanza nilianza na ufugaji wa nguruwe mmoja jike. Nikaenda nae vizuri tu. Kushika mimba, kabla hajajifungua akaanza kuumwa. Akawa anakosa nguvu za miguu, kuna jamaa mfugaji mzoefu, nilipomuelezea akasema kuna sindano inabidi achomwe. Tulipomchoma ile sindano, baada ya siku mbili mimba ikatoka. Nguruwe akaja akapona. Akashika mimba nyingine na kujifungua vitoto 5,mmoja akafa. Tukaenda nao pia fresh, ila wanakula kupita maelezo. Vilipoacha kunyonya, tukauza 3 kimoja kikabaki. Baada ya kuona uelekeo sio, mama mtu nikachinja na kuuza nyama buchani. Hela haikurudi. Nikapiga chini huo mradi.
Nikasogea kwenye kilimo. Tikiti na maharage. Hudumia sana shamba. Kwenye kuvuna, tikiti ilinipiga hasara moja matata sana. Nikapiga chini. Nikahamia kwenye kusafirisha maharage toka mkoani kuleta Dar. Nilichora mchoro vizuri tu. Nikanunua mzigo wa kutosha na kuuagiza uje mjini. Huku town alikuwepo jamaa yangu mmoja, mtu wa karibu sana (alikuwa mtu wa karibu sana, maana sio wa karibu tena). Jamaa akaupokea mzigo na kuusimamia kwa wale madalali wauzaji. Daily ananipa mrejesho wa maendeleo, nikawa nafurahishwa na bidii yake. Kumbe daily anaenda kuchukua hela alaf anaweka heshima mitaani na bar (mimi sina habari). Kuja kustuka, kashakula hela 75%, huku mimi ananiongopea madalali hawajampa bado. Biashara ikafa.
Nikageukia kwenye tangawizi. Nikalima vizuri na kila kitu kikawa chini ya usimamizi wangu mwenyewe. Kwenye mavuno mambo hayakwenda vizuri, ila walau niliona mwanga fulani hivi. Ikabidi niwekeze tena kwenye ili zao. Msimu wa pili kilichotokea ni afadhali ya msimu wa kwanza. Kama sijapalaraizi shambani, basi sidhani kama ntakuja kupalaraizi maishani mwangu. Kifupi shambani kitu pekee nilichoambulia ni kuitwa bossi na wale vibarua, zaidi ya hapo niliwafaidisha wao tu mimi sikupata kingine. Nikasema kilimo kwangu bye bye, siingii shambani tena.
Nikaamua kufungua duka la nafaka kwa reja reja. Ushindani niliokutana nao sio wa kawaida. Mara leo mtu aje kuulizia, then anakwambia ntarudi kuchukua kiasi kadhaa siku nyingine. Kumbe nae anafanya biashara hiyo hiyo so alikuja kunichunguza. Mara wamama watake mkopo. Kipindi mchele umekuwa hadimu mtaani, bei ya chini ilikuwaga 1500 kwa kilo, ila watu wanataka mchele wa 1300,tabu tupu. Baada ya miezi 4,nikaamua kupiga chini. Maana mzunguko ulikuwa mdogo saaana, nikawa namfaidisha mwenye fremu tu.
Kutokea hapo ndio nikaamua kuwekeza kwenye kitu kingine kabisa, tena nilianza na mtaji wa 1.5 milions. Nikaamua kusimamia mwenyewe mwanzo mwisho, hapo atleast ndio mwanga kidogo ukaonekana. Now nafikiria ni jinsi gani nitaitanua .
***** ****** ****** ******
Biashara zinahitaji kujitoa. Ukiweza kuweka hela yako sehemu, basi hakikisha unaweza kuweka na muda wako. Vinginevyo utaishia kufaidisha wengine.
Changa'moto niliokutana nayo katika biashara zangu ni 'human resource' kupata mtu mwaminifu self driven and determined katika kazi zangu, limenichelewasha kua millionaire....watanzania wengi wakiwemo na ndugu sio waminifu hawapendi kazi boss wao anachukuliwa kama adui wao
haha umenikumbusha mbali mkuu, kilimo cha simu, my mom alilimaga mpunga akamuweka mdogo wake asimamie ruvu hasara ilikuwa kubwa kutokana na usimamizi kuwa mbovu anyway, my point is biashara yoyote inahitaji usimamizi wa muhusika 100%Umenikumbusha niliwahi lima mpunga alafu akawa anasimamia rafiki yangu aisee ile hasara sitakuja kusahau
MKUU NAOMBA MWONGOZO WA HII BIASHARA PLZ?Kununua na kuuza nguo za ndani
Maduka mengi ya vipodozi dsm yanamilikiwa na waha na hili kabila sasa hv kwenye biashara wanakuja juu kwa kasi sjui kwannSwali la kujiuliza hivi Wachaga na waha (kigoma) hua wanawezaje Biashara?
Jamaa wanapiga Kazi sanaMaduka mengi ya vipodozi dsm yanamilikiwa na waha na hili kabila sasa hv kwenye biashara wanakuja juu kwa kasi sjui kwann
Yah ndo cha msingi hicho kituNilijifunza vitu muhimu vya kuzingatia.
Location ya biashara na usimamiaji. (Tumia muda mwingi sana na umakini kwenye kutafuta location.)