Tamu, tamu, tamu sanaaa - njooni tuzogoe!

Jeiefu ningekuwa na uhakika fulani ni mwanamke real hakika ningejaribu kurusha ndoano.... Lakini Sasa haya ma aidii feki unaweza jichanganya ukajikuta unatongoza mdume la mbegu🀣🀣.. huku my ni kukaa kimkakati sna
 
Unajuaje anavyotaka? anakuambia mwenyewe au huwa unampimia vipi?
Oya huku kwetu mvua imenyesha na halaf Nipo mwenyewe home Haya maswali yatafanya nipoteze kumbukumbu

kwenye game huwa tunamsoma mtu kile anachokihitaji na kipi tumpatie ili aenjoy

Pia unaangalia na wepesi wa mtu kwa mfano ukikutana na mtu ambaye no mzito kutoka style moja kwenda nyengine huwezi kumpeleka mputa mputa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…