Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,789
- 4,836
Imeisha kiongozi.Haya uniombee ๐
Imeisha kiongozi.Haya uniombee ๐
Kabisa, huwezi jua, inawezekana najiita binti wa zamani kumbe ni libaba la zamani ๐Jeiefu ningekuwa na uhakika fulani ni mwanamke real hakika ningejaribu kurusha ndoano.... Lakini Sasa haya ma aidii feki unaweza jichanganya ukajikuta unatongoza mdume la mbegu๐คฃ๐คฃ.. huku my ni kukaa kimkakati sna
Unajua pa kunipata acha kujizima data๐
Hii iliwahi kunikuta miaka kadhaa nyumba, nilikuwa 18 nikapatana na binti wa 29.Umeshawahi kuwa kwenye mahusiano au kupenzika na mtu ambaye umepishana naye umri kuanzia miaka 10 na kuendelea, njoo utupe uzoefu wako na ni kweli watu wa rika tofauti ni watamu na wana mapenzi kuliko vijana au watu wazima wenzako?
Wewe kila siku unakosea mlango ๐ hebu tulia hapa useme huwa unapendaje ๐คฃNgoja niutafute mlango nilioingilia ili nitoke.
๐ ๐ Nasubiri tamu ya mubibi mumoja hapa... ulafu una case .. itabidi utafute wakili akutetee, bila hivyo nakutia hatiani
NIlikuwa na bike langu yale yanayopiga kelele eti ananiambia kesho ukipita tena nakuzingua nikamwambia kakazwe hukoo hapo ndio ikawa shida nusu nimkande yule ***Khaaa, ilikuwaje tena?
Hizo ni issue za vijana,acha mimi nilee wajukuu tu kwasasa.Wewe kila siku unakosea mlango ๐ hebu tulia hapa useme huwa unapendaje ๐คฃ
๐๐๐๐๐๐Jeiefu ningekuwa na uhakika fulani ni mwanamke real hakika ningejaribu kurusha ndoano.... Lakini Sasa haya ma aidii feki unaweza jichanganya ukajikuta unatongoza mdume la mbegu๐คฃ๐คฃ.. huku my ni kukaa kimkakati sna
Usiisingizie mvua, ulikuwa ushapanga kuukwea mnazi na โฆโฆOya huku kwetu mvua imenyesha na halaf Nipo mwenyewe home Haya maswali yatafanya nipoteze kumbukumbu
Kwahiyo wewe huna mambo unayopenda wala spidi unayofurahia, unaenda kulingana tu na mwenzio anavyotaka?kwenye game huwa tunamsoma mtu kile anachokihitaji na kipi tumpatie ili aenjoy
Pia unaangalia na wepesi wa mtu kwa mfano ukikutana na mtu ambaye no mzito kutoka style moja kwenda nyengine huwezi kumpeleka mputa mputa
๐๐๐๐๐ wee sikuweziiii, khaaaah
Najua ndiyo mambo yako haya, nilisahau tu kukutag ๐๐๐๐๐๐ wee sikuweziiii, khaaaah
Wala siogopi, nakutumia namba ya wakili wangu, ukamalizane naye nje ya mahakama ๐๐๐คฃ๐ ๐ Halafu una case .. itabidi tutafute wakili akutetee, bila hivyo nakutia hatiani
๐๐๐๐๐ sio kivileeee.Najua ndiyo mambo yako haya, nilisahau tu kukutag ๐
๐๐๐๐๐๐๐ nimecheka km chiziii hapa.