Tamu, tamu, tamu sanaaa - njooni tuzogoe!

Nipe mfano hapa, sijaelewa, anazungumza na wewe kama mtoto how?

Sasa hivi siyo muoga?
Kunichukulia kama mtoto maana yake kunipelekesha. Kila mara kuniuliza kama nimekula, kujifanya anarekebisha nguo zangu, kuninyamazisha mbele za watu nk.

Suala la uoga lipo tu ila tunafanya kuzoea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…