Tamu ya infidelity imenitokea puani

 

Born Town, natamani ungeniona ninaposoma post yako, yaani mbavu sina. napata picha kama unamgombeza mtoto ambaye kafanya kosa la kizembe sana. kwa kweli huo ni uzembe............................
 

Watu wana vituko................ Caren mambo!
 
na bado, kama ni ndoa takatifu hizo ndio faida zake, jitulizie upinzani na uende kumpigia goti mkeo.
 
naona unazidi kumjaza ukimeo,sasa Mikela jaribu na hii.
 
Kweli kabisa, hamfikii mama watoto wangu hata kidogo, ni tamaa tu ndo zilizoniponza.
nina watoto wawili na wife ni kama bado hajazaa...
hana kitambi, mrefu, mwembamba, na hana mikunjo usoni.
Dah... kweli majuto mjukuu

ona sasa unazidi kuongeza makosa!

majuto ni mwiko kwa mzinifu.

asilani usikubali kosa. nini hiyo ya kufungua mlango ukiwa na mzigo,
kanusha hata kama umekutwa kwenye tendo lenyewe! ikibidi mshutumu shetani
sio wewe.

kama wife amekuja kukuaga ujue anataka ujue aliko na angependa uwe unapita
kumsalimia ukimkumbuka. yataisha tuu usiwe na shaka.
 
mmmh,wanaume mmeshinda
 
Hii sio infidelity hata kupata CERTIFICATE haustahili kabisa
 

Kwa kuusoma uhadithiaji wake, hata angeenda Morogoro angekutwa!
 
Careen Nimekukubali!

Inawezekana Shemeji yetu unam-cheat ile mbaya!:hand:
 
 
Asante Caren mwenye jina kama la mwanae Asprin.....

Nem koling...

Hii sio infidelity hata kupata CERTIFICATE haustahili kabisa

Sio setifiketi Finest.....hastahili hata udahili....

Itabidi ISC tuanzishe kitengo cha DEPO ili wapite huko kwanza kabla ya kuja kilingeni

The Following 4 Users Say Thank You to Caren For This Useful Post:
Asprin (Today), Kaizer (Yesterday), Roya Roy (Yesterday)​


Yaone kwanza... utayajua tu kwa matendo yao...

Eti hii ni yuziful post...😡
 
hahahaah pole sana.
wewe umefanya infidelity kwa kutamba hadharani kila mtu akuone umeopoa toto halafu unauliza umekosea nini?
next time kuwa mwangalifu usikae bars za barazani hakikisha ukishamweka kwapani infidelitiwa unazama naye kwenye eneo la makamuzi. masiaya ya bia za sponge yanakufuata humo humo.
Ulikosea kipengele cha HIDE kwenye katiba ya INFIDELITY
 

Safi sana.... ningemjua huyo mkeo ningempa zawadi.
Mmezidi na mambo ya kuiga.....hao kina "Teamo" unaowafata wenzio ukute hata hawafanyi hayo mambo,
nyie na kujifanya wajuaji...haya sasa! samahani kwa kuwa nashindwa kukupa pole kwa maana hayo umejitakia,
lakini pamoja na hayo bado tunakukaribisha chama cha upinzani pale utakapoamua kutubu na kuanza maisha yako upya
BILA INFIDELITY.....of any kind!!! :mad2:
 
"ni lipi nimekosea kwenye katiba yao?"

Yaani wewe umevunja karibu kanuni zote zinazowaongoza 'infedelators' and 'infideletees'. Kikubwa, walisisitiza sana kuwa "both, infidelators and infideletees shall have recognized marital status", sasa wewe na vitoto vya shule wapi na wapi? ungemchukua mtu mwenye ndoa yake angekuwa makini na asingekubali kwenda kibodya inn manake hiyo kila mjanja mjini anajua hapo huwa ni kimeo. Inawezekana hata mkagongana na mkeo manake ukute na yeye alienda kwa malengo kama yako.
 

Ajali kazini hiyo mikela,ipo sana tu hiyo!mi nataka nijue, ''ulipokuwa unapiga hizo chapuo zako kama 10 za nje ndani na mara mkeo akatokea na kukwambia endelea tu, je ulikomaa kweli ukaendelea mpaka kumwaga hiyo juisi yako au ulikatisha game!maana yake kama kweli wewe ni jasiri nadhani ulipaswa umalize DK. 90 kisha ndo ufahamu yaliyojiri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…