Tamu za Numbie

Tazama picha hii ikionyesha ndege aina ya Airbus A380 ilivyokoswa koswa na radi katika uwanja wa ndege wa Christchurch nchini New Zealand.
Picha hii ilipigwa na rubani mmoja kutoka kituo cha helikopta cha Garden City, wakati ndege hiyo ikisubiri tufani na mvua kali ipungue.
Pata picha upo ndani ya ndege hiyo doooh...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…