cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Usinifokee msieeeeeeeewUmeshapima Corona?Hatutaki watu ambao hawajapima Corona hapa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usinifokee msieeeeeeeewUmeshapima Corona?Hatutaki watu ambao hawajapima Corona hapa!
Mpe mtu nafasi...Usinifokee msieeeeeeeew
Yaani watu wana majibu aisee!
Duh! Hatari saana aisee!
Tazama namna samaki huyu alivyoruka sarakasi ili kujipatia matunda yaliyo jirani na maji.
Samaki huyu aliyegoma kulala njaa anapatikana Brazil katika bwawa la Bonito.
Nikutakie mwanzo mwema wa wiki na utafutaji mwema wa riziki, Usikate tamaa.View attachment 1264334
Nafasi ipi hiyo? LolMpe mtu nafasi...
Naogopaga sana hii ukuagiza nguo online