myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Aisee....hiyo mbegu iliotaje😁😁Tabia ya kumeza mbegu za papai,shida inatokea msalani pale mpapai unapoota na kustawiView attachment 1593890
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee....hiyo mbegu iliotaje😁😁Tabia ya kumeza mbegu za papai,shida inatokea msalani pale mpapai unapoota na kustawiView attachment 1593890
Wasukuma muda wao huu wanatamba kila idara
Mkuu umenivunja mbavuPaulo mrefu ndo anakuwaga mpole hivyo!?kweli hakuna mkate mgumu kwa chai
jamaa uliesoma nae anapokuja kuosha gari lake kwenye kijiwe chako cha kuosha magariSijui katendwa au masuala ya pesa daah maisha hayaView attachment 1648785
Mkuu ametisha sana hapo, mzungu mpaka akomoke hela kudadadeki! 🤣 🤣 🤣