TAMWA yasisitiza ushirikishwaji wa Wanaume katika mapambano dhidi ya Ukatili wa Kijinsia

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
TAMWA husisitiza ushirikishaji wa wanaume na vijana katika mapambano ya kumaliza ukatili wa kijinsia. Ni vyema wadau wanaotoa semina juu ya elimu ya ukatilikuzingatia maudhurio ya wanaume na wanawake.

Wanaposhirikishwa, inawapa mwanga kujua madhara ya vitendo vya kikatili na hivyo kuwawezesha kutumia njia mbadala kutatua changamoto na jinsia nyingine.

Ili mapambano ya ukatili wa kijinsia yafanikiwe,yanahitaji muungano wa juhudi za makundi yote katika Jamii bila kuacha kundi lolote nyuma.
 
supported japo kibongobongo ukatili wa kijinsia huonekana kwa mwanamke tu kushambuliwa na mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…