Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli kuna post kama za ulinzi hakuna mtu mwenye time nazo kiviilejamani urasimu uko kote kikubwa ni post unayoomba na qualifications , mi niko Tanapa post niliyoomba ilikuwa huwezi kuchakachua
Kati ya mashirika yenye bureaucrazy katika ajira ni TANAPA na NGORONGORO CONSERVATION.
Hakuna uwazi katika ajira. Watoto wa Vigogo fulani fulani au watu wenye majina ndo wanaajiriwa.
Solution: Nashauri Tume ya Utumishi waajiri Katika TANAPA.
Namshauri Waziri Ezekiel Maige afuatilie hii kitu, afanye uchunguzi.
.wewe acha kutangaza uongo mm nilikuwepo kwenye interview ile tuliyoona yanakatisha tamaa hebu waulize waliopata wakwambiesehemu nyingi sana kuna urasimu-ila kuna vjana wameajiriwa wiki hii TANAPA bila kuwepo kwa uchakachuaji wowote-kwa hio si mara zote kuna kuwaga na urasimu