Tanapa.....it analyst vipi?

ITMAN

Member
Joined
May 3, 2012
Posts
6
Reaction score
0
Jamani si walisema watatujulisha soon wootee... watakaoitwa for Oral na watakaokosa inakuaje tuendelee kusubiri au?
 
Hii ndiyo bongo bana.Waliotoka mikoani sijui bado wapo guest?
 
Na wewe kweli bado huamini kama ile interview ilikuwa kiinimacho? Wapi ushawahiona shortlist watu 322 wakati wanatakiwa watu 2 (wawili). Kalagabaho ile kitu ilikuwa kinimacho ndo maana wajanja hawakupoteza muda wao, TANAPA makao makuu yao yapo Arusha and waht was the point ile written interview kufanyika Dar? Pole sana wewe fuatilia kwingine kule tayari manyoya maana jogoo keshaliwa
 
Watanzania, Tuelimike. Ni lini tutaacha kutokuwa reasonable, Mnyonge Mnyongeni na Hiki apewe.

1. kazi ya kuwafanyia usaili waliokuwa shortlisted imefanywa na UCC HQ Iliyo na ofisi UDSM. (mlitaka usaili ufanyikie wapi?,
Dodoma?)

2. Uliengojea simu, Did U do your homework, atleast go and see on UCC news board?

3. To me, kuitwa kwa watu mia kadhaa ni sahihi ili kukuongezea nafasi ya kushinda hiyo nafasi, hujui tu kuwa waombaji walikuwa wangapi, think outside the box. now ajira ni very competitive, you need to be very exceptional, and without faint heart...........
 
Bahati nzuri nilitumiwa msg mnamo saa 22:47:58 same day of 16th August kuwa "UCC regret to inform you that you have been unsuccessful in the aptitude test you attempted today. Thank you for coming" Ila zaidi ya watu hamsini niliokuwa nawafahamu basi hawana taarifa juu ya chochote kinachoendelea hawakupata txt kama mimi au hata kupigiwa simu kama waliovyoahidi. So mie najiona very exceptional kwa kupata taarifa niliyokuwa naitegemea japo ninaamini ni mmoja ya waliofanya interview vizuri na nilimaliza kujibu maswali yote na kuyahakiki na nikajua kama watatenda haki basi lazima ningeitwa kesho yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…