TANAPA: Ujerumani yachangia Tsh bilioni 68 kwenye Uhifadhi Tanzania

TANAPA: Ujerumani yachangia Tsh bilioni 68 kwenye Uhifadhi Tanzania

The Sheriff

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
747
Reaction score
2,112
Serikali ya Ujerumani imesaini Mkataba na Serikali ya Tanzania ambapo nchi hiyo itatoa kiasi cha Shilingi bilioni 68 ili kuimarisha uhifadhi katika hifadhi za taifa nchini.

photo_2021-09-14_13-56-29.jpg
 
Hakuna cha bure nyie Tanapa.

Hata Lisu na Lema wanalishwa na makalio yao huko Ulaya.
 
Yenyewe ilifaidi kiasi gani? Kama haijafaidi angalia kwa macho ya ndani waweza ukute mtego wa panya.
 
Back
Top Bottom