The Sheriff JF-Expert Member Joined Oct 10, 2019 Posts 747 Reaction score 2,112 Sep 14, 2021 #1 Serikali ya Ujerumani imesaini Mkataba na Serikali ya Tanzania ambapo nchi hiyo itatoa kiasi cha Shilingi bilioni 68 ili kuimarisha uhifadhi katika hifadhi za taifa nchini.
Serikali ya Ujerumani imesaini Mkataba na Serikali ya Tanzania ambapo nchi hiyo itatoa kiasi cha Shilingi bilioni 68 ili kuimarisha uhifadhi katika hifadhi za taifa nchini.
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,216 Reaction score 37,757 Sep 14, 2021 #2 Mabeberu Ni noma.
Kijogoodi JF-Expert Member Joined Mar 29, 2021 Posts 1,362 Reaction score 2,373 Sep 14, 2021 #3 Hakuna cha bure nyie Tanapa. Hata Lisu na Lema wanalishwa na makalio yao huko Ulaya.
Mbekenga JF-Expert Member Joined Jun 14, 2010 Posts 3,262 Reaction score 8,144 Sep 14, 2021 #4 Yenyewe ilifaidi kiasi gani? Kama haijafaidi angalia kwa macho ya ndani waweza ukute mtego wa panya.
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,216 Reaction score 37,757 Sep 14, 2021 #5 Kijogoodi said: Hakuna cha bure nyie Tanapa. Hata Lisu na Lema wanalishwa na makalio yao huko Ulaya. Click to expand... Huku nawe ukilishwa na mbunye na mtandao pendwa wako.
Kijogoodi said: Hakuna cha bure nyie Tanapa. Hata Lisu na Lema wanalishwa na makalio yao huko Ulaya. Click to expand... Huku nawe ukilishwa na mbunye na mtandao pendwa wako.
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,216 Reaction score 37,757 Sep 14, 2021 #6 Mbekenga said: Yenyewe ilifaidi kiasi gani? Kama haijafaidi angalia kwa macho ya ndani waweza ukute mtego wa panya. Click to expand... 😄😄 eti maskini anajifanya anaweza akautafakari msaada wa mwanaume.
Mbekenga said: Yenyewe ilifaidi kiasi gani? Kama haijafaidi angalia kwa macho ya ndani waweza ukute mtego wa panya. Click to expand... 😄😄 eti maskini anajifanya anaweza akautafakari msaada wa mwanaume.