TANAPA wamezembea makusudi kutengeneza daraja kogatende ili wapitishe agenda ya kuweka tozo kwenye kivuko

Upekuzi101

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
478
Reaction score
1,025
Baada ya sakata la tour guide kuwaruhusu watalii kushuka kwenye magari kutazama kivuko cha nyumbu ni kinyume na taratibu za uhifadhi pamoja na uongozaji wa watalii lakini ucheleweshaji wa kujenga kivuko hicho Ili kiruhusu watalii kuvuka upande wa pili wa mto Ili kuona vizuri uvukaji wa wanyama ulifanywa makusudi na TANAPA wakishirikiana na TATO ( Tanzania Association of Tour Operator) ambao kihualisia ni kuwa muungano huu unaongozwa na wale wanaoitwa big fish kwenye utalii ukihusisha makaburu na wamiliki wa hotel zilizopo huko kivukoni. Makaburu hawa wamefanikiwa kuteka mfumo wa maamuzi ndani ya TANAPA hii inapelekea agenda zao binafsi kupitishwa na TANAPA wakijinadi kuwa wanaboresha. Makaburu hawa wanaona tour operator wadogo kama kikwazo kwakua wanauza the same package kwa affordable price kwaiyo eneo hilo kufanya kama eneo linalojitegemea na kulazimisha kutoza tena kiingilio kutembelea eneo hilo Ili hali tayari kiingilio cha kuingia hifadhi ya Serengeti kilishalipwa. Ukitazama utaona namna TANAPA walivyozidiwa nguvu na hawa makaburu mpaka kufikia kufanya maamuzi yanayowafaidisha wazungu na matajiri. Kwaiyo kufikia sasa unatakiwa kulipa kiingilio kuingia ndani ya hifadhi ya Serengeti na ukitaka kuona nyumbu wakivuka mto basi inapaswa kulipa tena wakati suluhisho lilikuwa ni kujenga DARAJA kuondoa mikusanyiko ya wageni na waendesha utalii sehemu moja.
 
Sidhani kama tanapa imezidiwa nguvu na makaburu by anymeans necessary

Gov yenyewe
 
Agenda ya kuweka TOZO kwenye kivuko Ilihali mgeni amelipa kiingilio cha Serengeti kuona kila kitu ndani ya Serengeti ilikuwa agenda ya TATO na wamiliki wa mahoteli katika eneo la KOGATENDE, lengo ilikuwa ni kumiliki lile eneo na kunyima nafasi kwa budget travellers kufika huko.
 
Agenda umeitoa wapi? Kwamba taanapa inataka ku partition liwe na tozo tofauti? Thus kuchelewa kwa ajili ya daraja? I dont think so
 
Back
Top Bottom