TANAPA yafufua ujenzi hoteli ya kitalii Chato

Mara nyota 5 mara 3, kwanini serikali ijenge hoteli, biashara hailazimishwi
 
Kwa hiyo hiyo population inaenda kulala huko? Na ule uwanja wa ndege hiyo population inautumia?

Shida yako umepakatwa kwenye mapaja, hujawahi kufika hata Airport alafu unazungumzia matumizi ya uwanja
 
Shida yako umepakatwa kwenye mapaja, hujawahi kufika hata Airport alafu unazungumzia matumizi ya uwanja
Weka ilushahidi wa flights za ATCL za juma hili zinazotua Chato
 
Sidhani kama Etwege anaelewa maana ya hoteli ya nyota 5. Anadhani nyota 5 ni jengo. Huduma za hotel ya Nyota 5 Chato itakuwa ni hasara kupindukia. Hotel kwa namna yoyote, haitamuwa na muujiza wa kujiendesha.
 
Ndiyo inajengwa sasa na Rais Samia ameshatoa hela
 
Kupoteza hela bure kama mbuga ya burigi ilivokufa na airport imegeuka makazi ya popo na bundi kama Gbadolite ya Mobutu
 
Kuna upuuzi alioasisi dictator bado unaendelezwa kwa kuoneana aibu za kinaa
 
Ulishawahi kufika mkoa wa Geita? Unajua kanda ya ziwa ina population kiasi gani?
Kuna wasukuma wanaingia hotel za hata nyota2?
Issues sio uwingi wa watu ni convenience. Manyara kuna hotel za nyota 5 sabab kuna watalii sio sabab yetu wenyeji
 
Kuna wasukuma wanaingia hotel za hata nyota2?
Issues sio uwingi wa watu ni convenience. Manyara kuna hotel za nyota 5 sabab kuna watalii sio sabab yetu wenyeji

Ndiyo inajengwa sasa, nenda kajinyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…