TANAPA yajipanga kukusanya Bilioni 343.8, Sasa Wanyama kupewa Majina ya Watu kwa gharama ya Milioni 5

poor us watu wa ubunifu wanafanya kazi gani ifike kipindi idara kama hizo wapewe mikataba watu wenye ubunifu watuongezee tija kwenye mbuga zetu
ni kwa sababu ukichunguza wanaopelekwa polisi, jeshini, uhamiaji, magereza na hata huko tanapa ni form four and six failures...kisha wanaanza kupandishana vyeo mpaka wanakuwa decision makers lakini IQ zao bado ni za chini. Nchi hii ni shida sana
 
Na hao watu wanaoitwa majina ya wanyama wanalipwa na nani? Maana hapa jiran nina komba na tembo nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…