TOA MAGOLI YA NETBALL MAWILI,Mkuu acha uongo, wakati mwingine uwe unakubali tu pale mnapokuwa mnazidiwa. Labda takwimu zangu zinadanganya ila ninachofahamu mimi ni kuwa:
Team GF GA GD
Simba 24 3 21
Yanga 27 5 22
Hizo takwimu sahihi Mpaka sasa Simba Imefunga Goli 24 NA Timu ya wananchi Yanga imefunga goli 27.
Yanga 3 - 0 Mbao FC
Yanga 4 - 0 JKT Ruvu
Yanga 6 - 2 Kagera Sugar
Yanga 2 - 0 Toto Africans
Yanga 3 - 1 Mtibwa Sugar
Yanga 2 - 0 Mwadui
Yanga 3 - 0 Maji Maji
Yanga 1 - 1 Simba
Yanga 3 - 0 African Lyon
sembo na Mdau yoyote wa Simba, tuwekeeni hizo takwimu zinazoonyesha mmetuzidi magoli.
CC: nasmapesa , Guasa Amboni, Bantu lady na wengineo
View attachment 427778
Nakala Danny greeny na nduguze.TOA MAGOLI YA NETBALL MAWILI,
TOA MAGOLI MLIYOMFUNGA KAGERA SUGAR PIA, YANABAKI MANGAPI???
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]NDala ilikatikia stand..
Azam ikayeyuka hapo hapo
Tatu na tumeshinda zotemikoani mpaka sasa mmeshacheza mechi ngap?
Umefungwa ngapi Goal difference ipojeMkuu acha uongo, wakati mwingine uwe unakubali tu pale mnapokuwa mnazidiwa. Labda takwimu zangu zinadanganya ila ninachofahamu mimi ni kuwa:
Team GF GA GD
Simba 24 3 21
Yanga 27 5 22
Hizo takwimu sahihi Mpaka sasa Simba Imefunga Goli 24 NA Timu ya wananchi Yanga imefunga goli 27.
Yanga 3 - 0 Mbao FC
Yanga 4 - 0 JKT Ruvu
Yanga 6 - 2 Kagera Sugar
Yanga 2 - 0 Toto Africans
Yanga 3 - 1 Mtibwa Sugar
Yanga 2 - 0 Mwadui
Yanga 3 - 0 Maji Maji
Yanga 1 - 1 Simba
Yanga 3 - 0 African Lyon
sembo na Mdau yoyote wa Simba, tuwekeeni hizo takwimu zinazoonyesha mmetuzidi magoli.
CC: nasmapesa , Guasa Amboni, Bantu lady na wengineo
View attachment 427778
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ... Shukrani Mkuu kwa kuliona hilo pia.Umefungwa ngapi Goal difference ipoje
Hebu tujaribu kukadiria ni uharibifu wa kiasi gani, huyu Mnyama mkali kabisa mwituni pengine kuliko wote.. anaoenda kuufanya katika Stand ya Shinyanga??
Katika Mechi 5 zilizopita.
Sisi..
Tumeshinda: Mechi Zote [5]
Sare: Mechi 0
Tumefungwa: Mechi 0
Wao..
Wameshinda: Mechi 1 tuu.
Sare: Mechi 3
Wamegongwa: Mechi 1
Kama tumeweza kushinda mechi 5 mfululizo.. Itawezekanaje tushindwe kuwafunga hawa 'wachovu' ambao wameshinda mechi moja tu kati ya 5?!
Katika Mechi hizo hizo 5 zilizopita.
Sisi..
Idadi ya Magoli tuliyofunga: 11
Idadi ya Magoli tuliyofungwa: Hakuna
Wao..
Idadi ya Magoli waliyofunga: 6
Idadi ya Magoli waliyofungwa: 6
Kama kila mechi, Sisi tunafunga goli zaidi ya mbili na Wao kila mechi wanafungwa goli zaidi ya moja.. Unategemea nini hasa kitatokea baada ya fowadi yenye njaa.. Itakapokutana na beki mbovu?!
Matokeo ya Mechi iliyopita katika uwanja wa Kambarage.
Sisi..
Simba S.C 3-0 Stand United
Wao..
Stand United 1-1 African Lyon
Japo tutakua ugenini.. matokeo yetu ya ugenini yanaonesha tunagawa dozi nzito nzito kuliko tukiwa nyumbani.. Sasa hawa wapiga debe sijui watatokaje hapo?![/B
Vita ya Ufungaji Bora katika timu.
Sisi..
Kichuya - Goli 8
Mavugo - Goli 4
Muzamiru - Goli 4
Ajibu - Goli 3
Mo Ibrahim - Goli
Wao..
Magoli yamefungwa na wachezaji wawili tu.
Mnyama huyu.. ukimdhibiti mmoja, mwingine anakuliza.. Sasa hawa wapiga debe sijui watamdhibiti nani wamuache nani?!
Ombi Langu Kwa 'Tanapa':
Baada ya Mnyama huyu kufanya maangamizi makubwa katika mgodi wa dhahabu uliopo Mwadui.. Sasa yupo njiani anaelekea kufanya uharibifu mkubwa zaidi [usioelezeka] katika Stand ya mkoani Shinyanga.
'Tanapa' kumzuia huyu Mnyama hamuwezi, labda mtakachofanya ni kupunguza tu uharibifu.
Mpaka sasa Simba imefunga goli 25 na Yanga timu ya wananchi imefunga goli 28. Japokuwa tumepoteza game ya jana. Bado tu japokuwa tumepoteza game ya jana bado tunaongoza kama timu kwa magoli mengi[emoji2] [emoji2] [emoji2] ... Shukrani Mkuu kwa kuliona hilo pia.
Mkuu Danny greeny tunasubiri jibu.
Team. GF. GA. GDUmefungwa ngapi Goal difference ipoje
Team. GF. GA. GD
Simba. 25. 3. 22
Yanga. 28. 7 21
Yanga Mpaka sasa ndio timu inayoongoza kwa Kufunga magoli mengi.
Nadhani mmepata majibu yenu. Mambumbumbu FC
CC: sembo
Sasa kwa taarifa yako siku ubora wa timu unatizamwa kwa uwiano wa magolu ya kufunga na kufungwa Simba inaongozwa Gd 22Team. GF. GA. GD
Simba. 25. 3. 22
Yanga. 28. 7 21
Yanga Mpaka sasa ndio timu inayoongoza kwa Kufunga magoli mengi.
Nadhani mmepata majibu yenu. Mambumbumbu FC
CC: sembo
Nimekuwekea hapo kuwa yanga kafungwa saba na simba kafungwa tatu.Nimekupata Mkuu.. Ila na vipi kuhusu magoli ya kufungwa? Maana naona unazungumzia ya kufunga tu? [emoji2] [emoji2]
We kweli hujui mpira. Mtafute sembo akupe basics kidogo utaelewa.Sasa kwa taarifa yako siku ubora wa timu unatizamwa kwa uwiano wa magolu ya kufunga na kufungwa Simba inaongozwa Gd 22
Mpaka sasa Simba imefunga goli 25 na Yanga timu ya wananchi imefunga goli 28. Japokuwa tumepoteza game ya jana. Bado tu japokuwa tumepoteza game ya jana bado tunaongoza kama timu kwa magoli mengi
Nimekuwekea hapo kuwa yanga kafungwa saba na simba kafungwa tatu.
Kama mnataka kombe la clean sheet sawa. Ila ukweli unabaki hapo kuwa forward ya Yanga ndio mwiba mchungu mpaka sasa kwenye Ligi kuu
Team. GF. GA. GD
Simba. 25. 3. 22
Yanga. 28. 7 21
Yanga Mpaka sasa ndio timu inayoongoza kwa Kufunga magoli mengi.
Nadhani mmepata majibu yenu. Mambumbumbu FC
CC: sembo
Yanga anacheza mpira wa kufunguka na kutanua zaidi. Ni game inayochezwa na Timu kubwa duniani.Bila Ya Kusahau Kuwa Ukilinganisha Simba na Yanga Utagundua Yanga Ndiyo inayoongoza Kuwa Na Beki Salome...
Sawa hiyo GD kamzidi Mangapi? Simba ana 22 yanga 21 tofauti ya kagoli kamoja ndio mnapiga kelele hivi?Huko Ndiyo Kujifariji!!!!! Magoli Yanayohesabiwa ni GD lakini unahesabu GS...?
Simba Kwa Mgoli Yupo juu Coz GD ni 22.
endelea kujifariji....Sawa hiyo GD kamzidi Mangapi? Simba ana 22 yanga 21 tofauti ya kagoli kamoja ndio mnapiga kelele hivi?
Kweli Rage hakukosea kuwapa lile jina