Mkuu acha uongo, wakati mwingine uwe unakubali tu pale mnapokuwa mnazidiwa. Labda takwimu zangu zinadanganya ila ninachofahamu mimi ni kuwa:
Team GF GA GD
Simba 24 3 21
Yanga 27 5 22
Hizo takwimu sahihi Mpaka sasa Simba Imefunga Goli 24 NA Timu ya wananchi Yanga imefunga goli 27.
Yanga 3 - 0 Mbao FC
Yanga 4 - 0 JKT Ruvu
Yanga 6 - 2 Kagera Sugar
Yanga 2 - 0 Toto Africans
Yanga 3 - 1 Mtibwa Sugar
Yanga 2 - 0 Mwadui
Yanga 3 - 0 Maji Maji
Yanga 1 - 1 Simba
Yanga 3 - 0 African Lyon
sembo na Mdau yoyote wa Simba, tuwekeeni hizo takwimu zinazoonyesha mmetuzidi magoli.
CC:
nasmapesa ,
Guasa Amboni,
Bantu lady na wengineo
View attachment 427778