'TANAPA': Yule Mnyama aliyefanya maangamizi makubwa Mwadui, sasa anaelekea Stand ya Shinyanga

Naona Askari magereza leo wamewakamata wawindaji haramu.

Bado jeshi sasa hivyo ni Vionjo tuu
 

Mkuu upoo...mimi sio shabiki wa ligi zetu...ila nikupe pole nkwingwa! naona mnyama alikua anaelekea pabaya sana,ikabidi askari kanzu wafanye yaoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€hivyo mnyama huyo kaharibiwa mno na kisha kupelekwa kwao akawinde akina swala.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…