Tanasha Afungasha Virago, Asepa Kwao, Mama Diamond Atajwa

Kwani alikuaj kuolewa Tanzania?
 

Hilo huja pale mama anapokua ndio mkuu wa kamati ya ufundi wa kushinda kwa waganga. inabidi tu amsikilize.
 
Nonsense
 
Kwa hiyo jamaa wa WCB,,ndo wamezima amsha amsha za tigo fiesta.
 
Daaaaa,,,,jamaa ndo wamezima kelele za tigo fiesta.
 
Naye ana akili fupi.
Kwamba alikuwa amehamia madale moja kwa moija?
 
Field yake imeisha
Sasa atasimulia uno la mondi lilivyomdatisha!!
 
This is sad,ila im not surprised wanawake wa kikenya ni tough..kuwa submissive sio character yao...hawakubali kupelekeshwa hao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…