Tanasha Afungasha Virago, Asepa Kwao, Mama Diamond Atajwa

Tanasha Afungasha Virago, Asepa Kwao, Mama Diamond Atajwa

Likizo ya Uzazi ni Siku 84.... Kwa Tanzania Sijajua Sheria Za Nchi Nyingine..!! Tanasha Sio Mtanzania Sijajua Anaruhusiwa Kukaa Bongo Kwa Muda Gani?

Mwisho Wa Siku Tanasha Ni Muajiriwaaa kaajiriwaa Chezea Yote usichezee kaziii

Sio Kila Kitu lazima Kuhusiane na ugomvi
 
Hata km habari hii ni ya kutunga ila Diamond akitaka kuishi na mwanamke lazma ajitenge na mama ake. La sivyo haji kuishi na mke. Huyo mama ushwahili umemzdi hawezi kuishi na hao wadada wenye uzungu mwingi. Haiwezekani kila siku wakwe wanakimbia. There must be something wrong.
 
Tatizo huanza pale mama anapotamani maisha ya ubinti kama yupo form 3.

So, badala ya kuwa mshauri wa familia ya mwanaye, anataka ashindane na wanaye!

Pia Dimond, anampa nafasi kubwa mama yake kuingilia mapenzi yake. Kitu ambacho si sahihi kwa watoto wa kiumeni.
Kweli kabisa mkuu, dogo anafeli sana kupangiwa mahusiano yake na bimkubwa
 
Familia imejaa uswahili hio si ajabu mama Diamond hataki ata mwanae aishi na mwanamke kwa kudhani kuwa atapunguza kudhaminiwa.
 
Back
Top Bottom