Tanasha Afungasha Virago, Asepa Kwao, Mama Diamond Atajwa

Likizo ya Uzazi ni Siku 84.... Kwa Tanzania Sijajua Sheria Za Nchi Nyingine..!! Tanasha Sio Mtanzania Sijajua Anaruhusiwa Kukaa Bongo Kwa Muda Gani?

Mwisho Wa Siku Tanasha Ni Muajiriwaaa kaajiriwaa Chezea Yote usichezee kaziii

Sio Kila Kitu lazima Kuhusiane na ugomvi
 
Hata km habari hii ni ya kutunga ila Diamond akitaka kuishi na mwanamke lazma ajitenge na mama ake. La sivyo haji kuishi na mke. Huyo mama ushwahili umemzdi hawezi kuishi na hao wadada wenye uzungu mwingi. Haiwezekani kila siku wakwe wanakimbia. There must be something wrong.
 
Kweli kabisa mkuu, dogo anafeli sana kupangiwa mahusiano yake na bimkubwa
 
Familia imejaa uswahili hio si ajabu mama Diamond hataki ata mwanae aishi na mwanamke kwa kudhani kuwa atapunguza kudhaminiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…