HoneyBee JF-Expert Member Joined Oct 23, 2012 Posts 912 Reaction score 864 Jan 26, 2021 #161 Mgiriki Jr VI said: Kuliko kila mtoto kuwa na baba ake sio🙄 Click to expand... Angalau kila mtoto na baba yake lakini wote wanakua pamoja under one roof. Sasa unakuta huyu mmoja yuko Kenya, wengine SA, wegine Tanzania. Watafahamiana kweli?
Mgiriki Jr VI said: Kuliko kila mtoto kuwa na baba ake sio🙄 Click to expand... Angalau kila mtoto na baba yake lakini wote wanakua pamoja under one roof. Sasa unakuta huyu mmoja yuko Kenya, wengine SA, wegine Tanzania. Watafahamiana kweli?
M24 Headquarters-Kigali JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 8,199 Reaction score 8,186 Jan 28, 2021 #162 DEMBA said: Mambo ya co-parenting hayo......zamu kwa zamu. Ila nampenda tanasha Hana tashitit Click to expand... Uzuri nao unachangia
DEMBA said: Mambo ya co-parenting hayo......zamu kwa zamu. Ila nampenda tanasha Hana tashitit Click to expand... Uzuri nao unachangia
K kabombe JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 26,153 Reaction score 18,740 Jan 28, 2021 #163 Tanasha amekwama tu,amejileta kupandisha nyota Tanasha alishaita press Nairobi akajikuta peke yake,kaona bora arudishe mpira kwa keeper
Tanasha amekwama tu,amejileta kupandisha nyota Tanasha alishaita press Nairobi akajikuta peke yake,kaona bora arudishe mpira kwa keeper
M24 Headquarters-Kigali JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 8,199 Reaction score 8,186 Feb 2, 2021 #164 witnessj said: Yule kweli ana damu ya kizungu, hana uswahili kabisa[emoji122][emoji122] Click to expand... Wataliano Njaa kupitiliza
witnessj said: Yule kweli ana damu ya kizungu, hana uswahili kabisa[emoji122][emoji122] Click to expand... Wataliano Njaa kupitiliza