Tanasha Donna: Sikuzaliwa kuwa mama wa nyumbani

Tanasha Donna: Sikuzaliwa kuwa mama wa nyumbani

Joined
Nov 5, 2019
Posts
11
Reaction score
10

Tand D.jpg

Mwanamziki Tanasha Donna ambaye amezaa na mwanamuziki mwenzake wa Tanzania Diamond Platinumz kwa jina maarufu Simba, Tanasha amesema anaulizwa mengi kuhusu yeye kwa lile swala la kuwa maam wa nyumbani, kutoka kwa mashabiki wake.

Na kusema hakuzaliwa kuwa mama wa nyumbani. Pia, asema yeye pamoja na Diamond ya kuwa wana matarajio makubwa katika suala lao la maisha. Vilevile amesema yeye kuwa na mtoto inamsukuma kutafuta pesa zake mwenyewe kwa nguvu.
 
Ata pita kama wenzie kwanza kapooza


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hawana uhusiano alivyotarajia ameshaanza kumwagwa, angenyamaza tu. Yamememkuta ya kutendwa na familia ya kiki.

Hana bahati ya kiki na kuvutia Diamond apate kiki. Akaacha kazi ili amzalie mtoto, amejichanganya na kujishusha sana hadi kupanda treni masiku kumsapoti Domo huku yeye ya EP alikimbiwa.

Ila kapata alichokifata nacho ni kuingia kwenye muziki ambao inasemwa waliomsikia live walimshauri afanye business nyingine.

Apunguze maneno aiseeee, tunajua ametemwa na inaenda kwa hatua hadi atambue kabisa hatakiwi. Viatu vya Zari hakuna atakayevibeba, Diamond still loves Zarinah.
 
mbongopopo,
Kumbe wewe ni mshabiki wa zari ndomaana unaongea hivyo huyo dada sio mpenda Kiki Kama zari hata ukiangalia social network zake Sio mtu wakupost post vitu unaweza ukakuta kakaa mwaka mzima ajapost kitu na sio mtu wakupenda maneno na ex wa diamond tofauti na mademu wengine walioingia uhusiano na diamond.Muache aishi maisha anayoyapenda
 
Back
Top Bottom