Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AnaimbaKwani na yeye anaimbaga kumbe? Au ndo vle ukiolewa na kocha lazma ujue mpira ukiolewa na mganga lazma ujue madawa
Kwani kashaanza kupigwa matukio?Kashata bana kwisha habari yake.
Valentine asipoolewa ndo basi tena arudi kenya tu
Kwani kashaanza kupigwa matukio?
Hawana uhusiano alivyotarajia ameshaanza kumwagwa, angenyamaza tu. Yamememkuta ya kutendwa na familia ya kiki.
Hana bahati ya kiki na kuvutia Diamond apate kiki. Akaacha kazi ili amzalie mtoto, amejichanganya na kujishusha sana hadi kupanda treni masiku kumsapoti Domo huku yeye ya EP alikimbiwa.
Ila kapata alichokifata nacho ni kuingia kwenye muziki ambao inasemwa waliomsikia live walimshauri afanye business nyingine.
Apunguze maneno aiseeee, tunajua ametemwa na inaenda kwa hatua hadi atambue kabisa hatakiwi. Viatu vya Zari hakuna atakayevibeba, Diamond still loves Zarinah.
Walikuja mara ghafla bin vuu wakayeyuka, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro alisema.hivi nzige bado hawajafika Tanzania
Na show zake zinajaa ?
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
Juzi juzi kazindua ep yake na kajaza au ukuona?
Ukishakuwa maarufu chochote ni habari
Jr[emoji769]
Nimecheka eti anapenda career yake kuliko kulaDiamond hajawahi kumpenda yeyote ukubwani, labda useme alipendezeana na Zarina. Anapenda career yake kuliko kula.
Uzi wa dona ..zari kaingiaje naweweHuyo mwanamke aishi kwa Kiki Kama zari so nivizuri ukamuacha aishi maisha yake Kama una wivu Sana olewa wewe na mondi ili roho yako iridhike.
Hilo. Nitafatilia ila jarib YouTube 🤣🤣🤣
SaluteDiamond hajawahi kumpenda yeyote ukubwani, labda useme alipendezeana na Zarina. Anapenda career yake kuliko kula.
salama sana tuKwema?
Jr[emoji769]