John sanga ni mchoraji mzuri.
Siku alichora noti ya sh elfu kumi chini ya sakafu mbele ya darasa..
Mwalimu akapasuka pua kwa papara ya kuiokota ile elfu kumi chini..
So kuuliza wanafunzi nani kachora.. wakasema John..
Ticha akampigia mzazi wa John (babake)
Baba John huku yupo hospitali..
(akamwambia mwalimu)
Una bahati sana ww, huyo mbwa juzi nyumbani kachora uke wa mwanamke kwenye switch ya umeme...
Kaimba vzr
ahahhahhahahahahhahah huwaga naimagine sauti yako ikipanda unapoanza hapo mxiiiiieeee mbwa nyie!Wanazengo wako wapi kuja kumsifia tanasha? Ila waja wana mambo , ningekua namchamba apo thread ingejaa Sasa hivi , watu hawataki mema ya watu , wanatak mabaya tu ndo waje kuleta mdomo , mxiee zenu mbwa nyie , uchawi tu mxieew
kuongelewa na dullarsquare na carrymastoryhanaga nyota? kwani nyota ni nini?